Nawatakia PASAKA NJEMA wanaJF wote!

mmh,..malumbano a.k.a muhadhara utaanza sasa hivi,si unajua wengine wanadoubt kuhusu yesu kuuawa na kufufua..happy easte to you too,.lets hope its all well
 
mmh,..malumbano a.k.a muhadhara utaanza sasa hivi,si unajua wengine wanadoubt kuhusu yesu kuuawa na kufufua..happy easte to you too,.lets hope its all well

ukweli upo wazi wanaodoubt kuhusu yesu sijui inakuwaje?.
 
Asante na wewe pia. Na wana JF wote pia PASAKa njema.love u all great thinkerz!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom