Nawatakia Christmas njema na heri ya mwaka mpya.

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Kuna watu maalumu kabisa nawatakia heri ya mwaka mpya kwa kazi kubwa sana waliyoifanya kuithibitishia Tanzania na dinia kwamba, hakuna mtu yeyote ilimradi yupo ndani ya CCM atakayeweza kuubadili mfumo ilio jiwekea kwa muda mrefu.

CCM ni kama mnara wa babeli hadi Mungu atapoamua ndo utadondoka, hawa watu nimewapenda bure maana wameamua kumuonyesha hata Magufuli kwamba hawezi kushindana na mfumo, japo hakupenda lakini Leo hii anafanya nao kazi hata kama ni kishingo upande...

Hawa ndo miamba wanaostahili heri mwaka mpya
1. Andrew Chenge

2. Prof. Anna Tibaijuka

3. Prof. Sospeter Muhongo

4. MWAKYEMBE

Hii ni nne yangu bora.. kwa mtanzania aliyelala hawezi kunielewa...Heri ya Mwaka mpya miamba kwa kunifungua macho.
 
Hii empire siku itakufa ndo haitarudi tena na ispokufa ni kazi bure.Magufuli hawezi kuifanya chochote..akiambiwa go anaenda stop anasimama
 
Back
Top Bottom