Naomba mawasiliano ya watajwa hapo kwenye majina yaliyoorodheshwa,wanatokea mkoa wa Ruvuma Songea vijiji ndio ivyo tajwa,kama kuna ndugu yako hapa naomba mawasiliano tafadhari sana,na kama utahitaji kujua kwanini nawatafuta naomba tuwasiliane dm nitakupa A,B,C,nawasilisha Asanteni sana admin naomba uzi wangu usifutwe nakuomba sana kama utahitaji kujua zaidi nitafute dm ,nikupe changamoto zangu kwanini nawatafuta hawa watu