Nawatafuta ndugu zangu upande wa Mama

Nawatafuta ndugu zangu upande wa Mama

Sio yeye, ally ni mbongo alikua tax driver maarufu sana Mwanza, nmezaliwa na kukulia mwanza siwezi acha kumjua jamaa alikua anajulikana sanaaa yani hata watoto wadogo wanamjua
Eve wee.., sasa ajabu!! kwani siye tumezaliwa wapi?!? (MIE KOKOTO ZA MWZ. zanisalimu)... king Solomon (mzee Ali ) kazi ya drvr Tex alistaafu zamani.... ila kweli ana watoto kwa mama mzawa.. ila yemwenyewe ni arabstan !! Pia ndugu zake wapo hapo Mza!! Board Member Mkuu una wadogo zako kibao kama jeshi la mgambo.... (nena pale Nkurumah st. Msikitini ukajitambulishe)!!!
 
Last edited by a moderator:

Nkuruma hakuna msikiti msikiti karibu na Nkuruma upo rufiji Street karibu na sukuma Street... La muhimu nimempa Mawasiliano atawajua wote
 
Last edited by a moderator:
We ni me au ke?? kama ni ke njoo.pm nitakupa msaada wa mali na hali
 
Ngoja niwatumie pc zake mumfaham woote aly ma genye
 
Ndugu wa upande wa mama unawatafuta wa nini kama unawafahamu ndugu wa upande wa baba achana na hao wengine maana ule ndo ukoo wako.

Kweli mkuu mi ndugu wa upande wa baba simjui hata alienipa jina walinitelekeza nikiwa na miaka 3 tu baba alipofariki na sina mpango wa kuwatafuta najua wao hawana mpango na mimi na wengi wapo hapa dar,namshangaa huyu anaewatafuta wakati anajiweza kabisa.
 
Kiongozi Uchungu wa mtoto ujuae mzazi sasa kama wao hawana uchungu na wewe,we unawatafuta wa nini?hapo unakaribisha majukumu toka kwa ndugu tu,mthamini aliekukuza ndio anauchungu na wewe
 
Niliwahi kukutana na mtu anaitwa pendo ruben na nakumbuka alisema anatokea mwanza, na nilizoeana nae sana, tulipoteana alipohama kutoka msasan na kwenda tabata, na mara ya mwisho tuliona bgrn rozana, Lakin sidhan kama anaweza kuwa na mtoto mkubwa hadi aingie hapa jf
 
Back
Top Bottom