Nawatafuta; Januari Swaga Katyega na Deogratias Mitima

Mu7

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
1,624
1,925
Nawatafuta marafiki zangu hawa niliopotezana nao mwaka 1990.
 
Tanesco ya wapi mkuu? Ukweli nawahitaji sana rafiki zangu hawa.

Mitima Deo mzee wa ki organ, nota, alikuwa anacharaza mziki wa kwaya kanisani balaaa. Najua ni mwalimu sasa sijui Shule gani
 
Nimewasiliana na jamaa mmoja anasema Deo Mitima ni mwalimu mkuu shule msingi Nyakatoke ikiyoko Nyakitonto- Kasulu, Kigoma. Januari Swaga jamaa anasema mara ya mwisho kumsikia alikuwa NHIF kanda ya magharibi Tabora. Mu7 kazi Kwako.
 
Back
Top Bottom