dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,859
- 61,921
KATAA NDOA
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI WIZI
TOKOMEZA NDOA
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI WIZI
TOKOMEZA NDOA
Mbona sasa unamsema[emoji3]Wewe alivyokupapasa ngoma imesimama? Au imelala dolo? Afu usipende kuyaendesha maisha yako jf
Achana naye kabisa. Wala usimpe uume hata kuugusa. Lala naye tu kama umelala na m doll. Mfanyie hivyo kama miaka 2 ndo atapata heshima. Unaweza nirushia namba yake nimwonye asije rudia huo ujinga siku za mbeleni.kunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa ela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba.Niliamua kukaa kimya nilitamani hata kufa kumbe hawa wanawake ni viumbe dhaifu sana sikumgusa miezi 4 nikawa siriazi mpaka nikazoea nalala naye hata husia zikapotea kabisa.Toka wiki hii imeanza ananisumbua mara anishike uume lakini nakaza ss hapa nawaza nimpatie au niendelee kukaza??
😜Mbona sasa unamsema[emoji3]
Akampime Mimba Kwanza. Vile vidude vinauzwa 500 sijui 1000 Tu unajua kama anayo au hanaatakuwa ana mimba anataka kukusakizia😳😳😳😳
Nakazia!atakuwa ana mimba anataka kukusakizia😳😳😳😳
Kumbe na huku upo? avogadroKashaa masa ujauzito kwa hilo lijamaa lililokuwa linampa kiburi Sasa anataka akuchomekee
Jaribu kunishawishi nikiingia box nitaamini wewe ni guru mamy...Weee hajui kushawishi huyo. Ningekuwa mimi hapo ungesahau misimamo yako yote na ungenipa tu.
Sikupi ogopa kitu kinaitwa no hisia.
Jaribu kunishawishi nikiingia box nitaamini wewe ni guru mamy...
Pardon! You have no feelings for him? Or typing error?Kaza brother, hawa wenzetu wanaona ni kitu cha thamani sana wanacho kumbe fyongo tu.
Bora wewe miezi minne, mimi na Chezea mwaka na na kitu, nimesusa total, I have no feelings for him , lakini tunaishi kwa furaha.
Faida kubwa unayo pata usipo gusa hizo ishu unakua na nguvu nyingi za kufanya kazi, unakua na amani fulani hivi na furaha.