BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,770
- 3,960
Kiukweli mie hata ufanye vipi, kama nimedhamiria nisikutafute basi sitokutafuna kweli.Hizo hisia ningezirudisha tu. Unaanzaje kwanza kukosa hisia. Huyo wako hajajua nguvu ya pusy huyo.
Kiukweli mie hata ufanye vipi, kama nimedhamiria nisikutafute basi sitokutafuna kweli.Hizo hisia ningezirudisha tu. Unaanzaje kwanza kukosa hisia. Huyo wako hajajua nguvu ya pusy huyo.
Hamna typing error bro, sina hisia nae..Pardon! You have no feelings for him? Or typing error?
My sister, ogopa mtu aliye poteza hisia na wewe. Ingawa mwanaume naweza kufanya na yeyote asiye na hisia nae ila wewe sasa!Sasa nikushawishi kwenye text? Maana silaha zangu sio maneno ni vitendo.
Dah [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hapa kunamtu atapigwa na kobiro usikuwa leo angalia huyu jamaa ni mtu wa kufanyia kazi ushauri
Wewe unaamua kuendelea kukaza au kumpatiakunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa hela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba.
Niliamua kukaa kimya nilitamani hata kufa kumbe hawa wanawake ni viumbe dhaifu sana sikumgusa miezi 4 nikawa siriazi mpaka nikazoea nalala naye hata husia zikapotea kabisa.
Toka wiki hii imeanza ananisumbua mara anishike uume lakini nakaza sasa hapa nawaza nimpatie au niendelee kukaza?
Kiukweli mie hata ufanye vipi, kama nimedhamiria nisikutafute basi sitokutafuna kweli.
My sister, ogopa mtu aliye poteza hisia na wewe. Ingawa mwanaume naweza kufanya na yeyote asiye na hisia nae ila wewe sasa!
Karibu ila utachemka nakwambia. Niliwahi kumkazia mwanamke ambae nilikuwa nampenda sana enzi hizo. Alifanya kila namna kuanzia saa 2 usiku hadi pakakucha na tulilala kitanda kimoja ila akanishindwa. [emoji3]Sema kweli? Basi nipe mwaliko halafu dhamiria kutokunikula nione kama ni kweli.
tunapanga miadi hakuna mkate mgumu mbele ya chai Mrembo...Sasa nikushawishi kwenye text? Maana silaha zangu sio maneno ni vitendo.
Karibu ila utachemka nakwambia. Niliwahi kumkazia mwanamke ambae nilikuwa nampenda sana enzi hizo. Alifanya kila namna kuanzia saa 2 usiku hadi pakakucha na tulilala kitanda kimoja ila akanishindwa. [emoji3]
tunapanga miadi hakuna mkate mgumu mbele ya chai Mrembo...
unakimbia kesi,maana yangu halisi ni kwamba hakuna kitachozuia kukutana live ili nione ulichomaanisha kwa vitendo.Wewe umeshasema hamna mkate mgumu mbele ya chai ndio kazi imeisha asubuhi na mapema.