Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,253
Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze kuharamishwa?
So far kwa kuwa mnalitumia, wacheni na wengine wajinasibishe nalo. Bahati nzuri hawajalitamka bali nyie ndio mmelishikia bango.
Acheni wananchi waandamane. Hayo mapinduzi mmeyatamka nyie.
So far kwa kuwa mnalitumia, wacheni na wengine wajinasibishe nalo. Bahati nzuri hawajalitamka bali nyie ndio mmelishikia bango.
Acheni wananchi waandamane. Hayo mapinduzi mmeyatamka nyie.