Nawashangaaa watu hawa kwa kuishabikia CHADEMA/ UKAWA

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,591
Reaction score
17,561
Habari wakuu?

Kiukweli mimi ni mfuasi wa CDM/ UKAWA, ila nawashangaa watu kama hawa kuishabikia na kuipigia chapuo CDM/UKAWA:-

Wenye shule za private
Wenye hospitali za private
Wenye malori ya kusafirisha mizigo
Wenye mabasi makubwa ya kwenda mikoani.

Nyie hapo juu hampaswi kuipa support CDM/ UKAWA, kwa sababu CDM/ UKAWA wakishika nchi:-

Wataboresha shule za Serikali ziwe bora zaidi ya private schools na elimu itakua BURE
Wataboresha hospital ziwe kama za India
Watajenga reli na kununua treni za umeme
Watapunguza ushuru wa magari na watu wengi watanunua magari yao (private cars)

Hivyo basi, jueni kwamba CDM/ UKAWA ni hatari kwa makampuni na mashirika kama GSM yenye malori kama laki hivi.
 
CCM itoke kwanza ubaguzi wa wafuasi wa Ukawa sio issue kwa sasa.Li Ccm litokeeee
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Nakupongeza mtoa post ila uchumi utakua kwa wengi kuwa na raslimali badala ya wachache
 
Kampeni murua kuisaidia chadema/ ukawa! Hongera.
 
Habari wakuu?

Kiukweli mimi ni mfuasi wa CDM/ UKAWA, ila nawashangaa watu kama hawa kuishabikia na kuipigia chapuo CDM/UKAWA:-

Wenye shule za private
Wenye hospitali za private
Wenye malori ya kusafirisha mizigo
Wenye mabasi makubwa ya kwenda mikoani.

Nyie hapo juu hampaswi kuipa support CDM/ UKAWA, kwa sababu CDM/ UKAWA wakishika nchi:-

Wataboresha shule za Serikali ziwe bora zaidi ya private schools na elimu itakua BURE
Wataboresha hospital ziwe kama za India
Watajenga reli na kununua treni za umeme
Watapunguza ushuru wa magari na watu wengi watanunua magari yao (private cars)

Hivyo basi, jueni kwamba CDM/ UKAWA ni hatari kwa makampuni na mashirika kama GSM yenye malori kama laki hivi.

hata cc2nakushangaa wewe unae ishabikia ccm!!

Jitafakari sana mkuu au ukafanyiwe maombi,
 
Habari wakuu?

Kiukweli mimi ni mfuasi wa CDM/ UKAWA, ila nawashangaa watu kama hawa kuishabikia na kuipigia chapuo CDM/UKAWA:-

Wenye shule za private
Wenye hospitali za private
Wenye malori ya kusafirisha mizigo
Wenye mabasi makubwa ya kwenda mikoani.

Nyie hapo juu hampaswi kuipa support CDM/ UKAWA, kwa sababu CDM/ UKAWA wakishika nchi:-

Wataboresha shule za Serikali ziwe bora zaidi ya private schools na elimu itakua BURE
Wataboresha hospital ziwe kama za India
Watajenga reli na kununua treni za umeme
Watapunguza ushuru wa magari na watu wengi watanunua magari yao (private cars)

Hivyo basi, jueni kwamba CDM/ UKAWA ni hatari kwa makampuni na mashirika kama GSM yenye malori kama laki hivi.
Ilani ya CDM na vingine ndani ya UKAWA hakuna vipelenge vya kibaguzi vya aina hiyo. Hii Topic imekaa kimlengo wa kifitna fitna na kutaka kuwatisha watu wenye kuipenda UKAWA. Si mseme ukweli tu, Ya nini kutunga uongo usio na tija.
 
Angalia Uzi huu kwa jicho la tatu, acha mihemuko (libido)
 
Ilani ya CCM B ni hipi make nasikia Luwasha naye anayo ya kwake mwenyewe
 
Angalia Uzi huu kwa jicho la tatu, acha mihemuko (libido)
Aaah. Sasa kumbe unaandika vitendawili tena, au ndio mafumbo? . Andika kitu kieleweke sio kitu kisomwe kwa jicho la tatu. Unachotakiwa ni kujishangaa wewe mwenyewe . Kwanini wote hao washabikie UKAWA.
 
Ufanye makosa wewe alafu umwombe Mungu akusaidie. Mm nasema hivi Mungu atusadie tupate kiongozi ambaye ni rafiki wa wanyonge na si matajiri!
 
Watu hawasomagi contents, akishaona heading tu huyo mbio kukomenti.
 
Back
Top Bottom