Nawashangaa wanaonihusisha mimi binafsi na Sheria ya Makosa ya Mtandao - January Makamba

Dah Huyu jamaa mnamshambulia mno a see! Yan likija suala LA makamba ktk thread hizi ni madongo tuuu.ebu semen na mazur take bhasi
 
Shwetani mkubwa Huyu January Makamba. Fisadi la kimataifa. Huwa ninajiuliza usalama wa taifa huwa mnafanya vetting ya aina gani? Ingekuwa genuine huyu Anury asingekuwepo madarakani. Au kuna we fine mnawapendelea? Shishangai ndiyo maaana mwizi wa mbwa na Kuku wanafungwa ila majambazi na mafisadi hawafungwi. Maskini hawana nafasi Tanzania.
 
Vijana hawa wana mihemko sana, mnamkumbuka Nape alivyokana hahusiki na kufungwa kwa matangazo ya bunge(live)?
Na akadai kuwa serikali ijitafakari
katika hilo.
(Na hii imekuja mara baada ya kuvuliwa uwaziri)
 
Huyu makamba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ndie mwanzilishi wa cyber crime raw na akumbuke mkutano wake kwenye uchaguzi rumumba kuhsu western repoter
 
Nasikia hadithi za biblia kutoka Israel, zinasema Mungu wao zamani alikuwa active mfano mtu akidanganya huyo Mungu wao anampoteza on the spot yaani ingekuwa hivyo leo hii.

Huyu December na wenzake wa aina hii tungekuwa tumeisha wasahau zamani sana.

Basi tena, kwani nasikia Mungu huyo alibadilisha gia.

Salute Boss,
Biblia sio kitabu cha ''hadithi'' ni kitabu cha matukio ''HALISI'' yaliyokuwa yanatokea zaman.. Please naona kama umekishusha thamani....

Lakini learn to respect te NAME of GOD... ''Mungu Kubadilisa GIA'' Mungu hafanyi kazi kwa style hiyo mkuu....
Ushauli tuu...
 
Salute Boss,
Biblia sio kitabu cha ''hadithi'' ni kitabu cha matukio ''HALISI'' yaliyokuwa yanatokea zaman.. Please naona kama umekishusha thamani....

Lakini learn to respect te NAME of GOD... ''Mungu Kubadilisa GIA'' Mungu hafanyi kazi kwa style hiyo mkuu....
Ushauli tuu...


Mmmmmmmmh,
Aiseeee,

Duuuuh.


Sasa, swali moja la Bible study nisaidie hapa,,,

Eti Mungu akaumba Adam na Eva /Hawa kisha wakazaa watoto 2 mmoja akauliwa na nduguye then, mwenye alibakia akaenda akaoa hivi hapo alitoa wapi mke na ni hao tu watu 3 walibakia Kwa dunia na hiyo ni Genesis sasa Nipe Jibu.


Ila Nisamehe Kwa hayo maneno niliandika kama siko Sawa kuhusu biblia ni aina gani ya kitabu pamoja na neno kubadilisha gia
 
Dah Huyu jamaa mnamshambulia mno a see! Yan likija suala LA makamba ktk thread hizi ni madongo tuuu.ebu semen na mazur take bhasi

" Huwezi Ukaokota Mayai ya Kuku' Anapoishi Chatu" (Nyoka aina ya Chatu)

Kama una akili utaelewa nilichoandika.
 
Na-declare interest, sina upande wa kisiasa ambao labda naupigia chapuo...hakuna mwanasiasa ambaye mimi kama mimi binafsi namuamini 100%...hayupo...! ispokua mimi nimezungumza kwa ujumla tu.

Lakini huyu Makamba anapozungumzwa kwa mazuri yake machache tunaisema nafasi yake kuwa azungumzi kama ispokua ni serikali iliyopo nyuma yake... lkn tunapomzungumza mahali ambapo inaonekana kama ameteleza tunamzungumza yeye binafsi... hilo ndio jambo ambalo mimi naona kama tunamuonea.

Nchi hii imelalamikiwa/inalalamikiwa kwa mambo mengi sana..na kwa sehemu kubwa huyo makamba mengi kayakuta yalishatokea... Na ikumbukwe kuwa wakati wa sheria ya cybercrime inapitishwa... huyu makamba alikua naibu waziri., kwnn tusimlaumu zaidi waziri wake tunamlaumu naibu waziri....?

Na kuhusu yeye kuutafuta urais mimi kwa namna navyoziangalia siasa za tanzania siwezi kum-writeoff Makamba hata kidogo anaweza akawa rais... na wala c kwa mapanga japo inaweza ikawa kwa namna moja au nyingine kukatokea kutokuridhika kwa baadhi ya kundi fulani na hiyo ni kawaida ktk chaguzi.

Aiseeee,

Unaandika Kwa kumhurumia!? Uongozi mtu anatakiwa awe msafi nje na ndani .

Ni kweli mtu yeyote anaweza akawa rais tena sema anayetoka ccmuuu ila tuangalie na uwezo wa mtu na nafasi yenyewe inayotajwa.

Tusijaribu kupeleka watu kuwa rais kwa kubahatisha kuwa huyu anaweza au hawezi hapo tutakuwa tunakosea .

Tumpe mtu nafasi anayoweza kutoa matokeo chanya na siyo kujaribisha watu.

To be a president, it's not a matter of trail and error but it's a reality and someone must be able to deliver the best outcomes.
 
Hapa Ndugu Makamba huna pakujitetea kubali tu lawama zinawahusu nakumbuka kipindi hicho ulikuwa naibu Waziri wa sayansi na Tekinolojia
 
He is evil.

Makamba kapelekewa proposal nzuri sana juu ya utunzaji wa mazingira ambayo ingewanufaisha Watanzania wote na kuondoa kwa kiasi kikubwa sana uharamia wa wanyama pori. Ni proposal ya kimataifa kabisa lakini amebunda tuu, hajajibu wala kuifanyia kazi.

Leo anapiga kelele hapa eti matokeo, matokeo husababishwa na siyo kusubiriwa. Huyu ni dhahiri anawahujumu wenzake ili wasionekane kufanay vizuri, na ndiyo sababu hachangamkii fursa na sasa anaanza kujiengua.

Hana lolote zaidi ya roho mbaya na ukatili wa kutisha. HAFAI!
Aise...Hii tuhuma nzito...Watu wa tabia kama hizi kama naye anazo, hawakawii kusaliti hata nchi zao ili tu apate atakacho...the end justifies tye means sort of ideology!
 
Back
Top Bottom