Nawashangaa wanaohoji 50 kwa 50 italipwaje na Barrick, mbona rahisi sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,936
141,908
Mimi siyo accountant lakini nafahamu 86% za Barrick na 14% za JMT hazimaanishi ratio ya kugawana faida bali umiliki.

JMT na Barrick ambao ndio wamiliki wakuu wakishafanya malipo yote ya kisheria ikiwemo kuwalipa faida stahiki wanahisa " wadogo wadogo" ambao ni pamoja na Acacia, basi kile kinachobaki ndio hawa wamiliki wawili watagawana 50 kwa 50 kama walivyokubaliana.

So Magufuli na Kabudi wapo sahihi kabisa wala haihitaji kwenda Havard au Oxford kulielewa hili!
 
Nimeishia kusoma hapo uliposema wewe si "accountant". Ni sawa na kwenda hospitali kwa ajili ya kumuona Daktari na Unapoingia tu kwenye chumba cha daktari una mkuta mtu baada ya salamu anakwambia mimi sio daktari ila........Hivi hapo utaanza kumwelezea ugonjwa wako? Labda kama unataka kupasuliwa/kufanyiwa "operation" mguu badala ya kichwa.
 
Mimi siyo accountant lakini nafahamu 86% za Barrick na 14% za JMT hazimaanishi ratio ya kugawana faida bali umiliki. JMT na Barrick ambao ndio wamiliki wakuu wakishafanya malipo yote ya kisheria ikiwemo kuwalipa faida stahiki wanahisa " wadogo wadogo" ambao ni pamoja na Acacia, basi kile kinachobaki ndio hawa wamiliki wawili watagawana 50 kwa 50 kama walivyokubaliana. So Magufuli na Kabudi wapo sahihi kabisa wala haihitaji kwenda Havard au Oxford kulielewa hili!
Makampuni yanavyofanya kazi wakitaka faida kubwa huwa wana overstate gharama za uendeshaji. Kihasibu hii hukubalika. Kwa mfano unaweza kuweka depreciation expense kubwa kuliko inavyotakiwa na depreciation expense huwa siyo gharama ambayo kampuni huingia ila ni njia tu ya kupunguza thamani ya assets kama equipment ya aina yeyote. In this way profit itapungua sana. Ile faida halisi tutakayoonyeshwa siyo watakayokuwa wanaipata. Watatuibia tu. Wazungu ni wezi na wahuni huwa hawako wazi siku zote. Wanatudanganya tu hao. Pia wanaweza kusema hawajapata faida hivyo kusiweko na cha kugawanywa. Mh Let us wait and see. Ila mimi siwaamini kabisa hawa.
 
Sioa accountant lakini ni mwanasiasa unayekokotoa mahesabu kupitia hisia za uzalendo uchwara. Safari hii mtafunga na kupiga risasi wengi kwa ufafanuzi huu.
 
Good!
 
Wewe utakuwa ni fundi mchundo mambo ya " ownership" yamekupita mbali!!
 
Nimeishia kusoma hapo uliposema wewe si "accountant". Ni sawa na kwenda hospitali kwa ajili ya kumuona Daktari na Unapoingia tu kwenye chumba cha daktari una mkuta mtu baada ya salamu anakwambia mimi sio daktari ila........Hivi hapo utaanza kumwelezea ugonjwa wako? Labda kama unataka kupasuliwa/kufanyiwa "operation" mguu badala ya kichwa.
Sasa nyie chama kizima na gazeti lenu mlishindwa kumwelewa Waziri mkatangaza 64% ya watanzania wanatumia ARV, ndio mtawaelewa wabobezi wa JMT na Barrick kweli?!!!! Ufipa mufilisi kabisa!!
 
Mkuu naomba uniheshimu mimi sio mfuasi wa Chama hata kimoja mimi ni mfuasi wa nchi inayoitwa Tanzania.Ujinga wenu na ambao unawamaliza ni kuwa kila anaewapinga ni CHADEMA. Hichi kivuli cha hiki chama kitawauwa.
 
Mkuu naomba uniheshimu mimi sio mfuasi wa Chma hata kimoja mimi ni mfuasi ya nchi inayoitwa Tanzania.Ujinga wenu na ambao unawamaliza ni kuwa kila anaewapinga ni CHADEMA. Hichi kivuli cha hiki chama kitawauwa.
Angalia wasije wakakuita msaliti!
 
kazi zinazokufaa mleta uzi ni umbea na unafiki ambazo hazihitaji akili na weledi
 
Back
Top Bottom