Nawashangaa sana wasaniii Watanzania

Nawashangaa sana wasaniii Watanzania

PERAMIHO YETU 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2025
Posts
344
Reaction score
692
Ni hivi wakati wa kampeni mliowengi kama 95% mlichagua upande wa kisiasa na mkatoa maneno ya kubeza kwa wapinZani mkasema chama chenu kina watu wengi na kina nguvu wapinzan n wachache

sasa leo mnalalamika hakuna show hata streaming kwenye hizo platforms zenu kama.youtube watu n wachache sasa kama hao mliowapigia kampeni n wengi mbona hawawasapoti kipindi hiki kigumu kwenye show au huko kwenye youtube mpate viewers wengi

jibu n ndogo tu wanaowasapoti ninyi ndio wale mliokuwa mnawabeza kwenye majukwaa ya kisiasa na mliokuwa mnawasapoti sio wateja wenu

Leo wanasiasa wamefanikiwa lakini nyie waaanii mmebaki yatima hajulikani msemaji wenu mara MAJIZO mara mzee rambirambi za misiba

NATUMAINI HILI LITAKUWA FUNZO KWENU
 
Ni hivi wakati wa kampeni mliowengi kama 95% mlichagua upande wa kisiasa na mkatoa maneno ya kubeza kwa wapinZani mkasema chama chenu kina watu wengi na kina nguvu wapinzan n wachache

sasa leo mnalalika hakuna show hata streaming kwenye hizo platforms zenu kama.youtube watu n wachache sasa kama hao mliowapigia kampeni n wengi mbona hawawasapoti kipindi hiki kigumu kwenye show au huko kwenye youtube mpate viewers wengi

jibu n ndogo tu wanaowasapoti ninyi ndio wale mliokuwa mnawabeza kwenye majukwaa ya kisiasa na mliokuwa mnawasapoti sio wateja wenu

Leo wanasiasa wamefanikiwa lakini nyie waaanii mmebaki yatima hajulikani msemaji wenu mara MAJIZO mara mzee rambirambi za misiba

NATUMAINI HILI LITAKUWA FUNZO KWENU

Mbona mnawaongelea Sana kila wakati Ina maanisha mnawapenda MTU Kama haumpendi mu ignore inatosha

Kila wakati mnaleta Uzi sasa huu unakuwa Kama mchezo .

Kukaa kujadili wasanii
 
Mbona mnawaongelea Sana kila wakati Ina maanisha mnawapenda MTU Kama haumpendi mu ignore inatosha

Kila wakati mnaleta Uzi sasa huu unakuwa Kama mchezo .

Kukaa kujadili wasanii
ila ukweli! Yaani inatakiwa tuwachunie kabisa!
 
Watu hawajui njia ya kumu ignore MTU ndo njia namba 1

Ile kuandika matusi kwenye PAGE ya mond Mimi naona Kama ujinga mwingine

Na hii inaonesha watanzania ni wajinga ni vile hawajapata nafasi ya kuwa wasanii
Ndio ilipaswa ifanyike namna hiyo yaani wauchune kbsa waache wasanii wapige mayowe mpaka wakae kimya wenyewe . Hii ya kuendelea kuwaongelea na kukomenti kwenye page zao inaonekana kbsa bado hatuja move on
 
😁😁😁

Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom