Nawasalimu wote.

Ambao sijawa-mention samahani ni muda mrefu Kongosho,Mwali,Faizafoxy,Mwanajamiione,Bishanga et al.

Ooh... Siamini macho yangu.... Nimefurahi mno kukuona tena rafiki kipenzi uporoto01 , ujio wako umenikumbusha mengi sana ya zamani.... Swahiba Husninyo upoooooo????
Karibu sana sana rafiki, nategemea kumuona klorokwini siku sio nyingi, plz kama unaweza mwambie tunamkosa sana jamani, apite kutusalimu kama wewe ulivyopita!!!

Ramadhan kareem
 
Last edited by a moderator:

Mama Junior nimekumiss
 
Last edited by a moderator:

Eti Mwali umeniita?
 
Last edited by a moderator:
Nikuulize na wewe sweetlady kulikoni umeadimika kama rupia ya mjerumani?
 
Last edited by a moderator:
nipo swahiba, mwenzio mpaka natamani kulia kwa kumkosa shemeji yangu klorokwini. jamani popote ulipo rudi bana mi ntakulipia gharama za internet. lol
 
Last edited by a moderator:
Tunaonana kila siku halafu uanailiza nilikuwa wapi!
Sasa unataka watu waeleweje hapa jamvini?
Kifupi na kiukweli kabisa, sijaipenda avatar yako!!

Ibadili kabla sijakudiliti kwenye moyo wangu!
 
Reactions: ram

Pacha ni mambo yepi tena hayo?
Huyu Bwana Shamba hata sikuwa najua kwamba amerudi...
Bado yule Mkulima wa viazi Klorokwini, tena alikimbia na Chenji yangu ya Daladala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…