Utafutaji tu dearest.karibu tena, nani alikuficha sijui.
Mmmmh? jamani hivi ni mimi tu au na nyie mmeona namna uporoto01 karudi pamoja na FaizaFoxy? mlikua wapi nyie? Halafu wote wamerudi hawajui kumention wala ku-tag, i almosed missed their return threads!
Karibu JF celebrity #1 , Karibu uporoto01. Bado bodyguard wangu klorokwini na team itakua imekamilika.
cc: AshaDii, Kaizer, The Boss, EMT, Mbu, MwanajamiiOne, Husninyo, afrodenzi, TIMING, Dena Amsi The Finest Lizzy Asprin Bishanga Kongosho na wengine wa enzi zileeee...
My friend... Nimefurahi mno kukuona. Karibu tena... Pamoja saana!Sijawasahau Ashadii,sistangu Preta,kamanda Klorokwini,Aspirin,NN,The madam na wengine wote.
Mmmmh? jamani hivi ni mimi tu au na nyie mmeona namna uporoto01 karudi pamoja na FaizaFoxy? mlikua wapi nyie? Halafu wote wamerudi hawajui kumention wala ku-tag, i almosed missed their return threads!
Karibu JF celebrity #1 , Karibu uporoto01. Bado bodyguard wangu klorokwini na team itakua imekamilika.
cc: AshaDii, Kaizer, The Boss, EMT, Mbu, MwanajamiiOne, Husninyo, afrodenzi, TIMING, Dena Amsi The Finest Lizzy Asprin Bishanga Kongosho na wengine wa enzi zileeee...
Hii ni habari njema, asante kwa kunishtua my niece... Sikuwa na habari kuwa uporoto01 my co-worker (ninae mdai pesa nyingi lol) karudi.
Hivi Uporoto yupo hapa naamini kabisa sasa uwa karibu klorokwini anarudi pia.
Nimeamua kupita hapa leo nawasalimu Lizzy,Husninyo,King'asti,Sweetlady,Firstlady,The Boss,Figaniga,Bubu msemaovyo, The reverand Masanilo,Erick,na marafiki zangu wote wa enzi hizo za 09/10.
Kuna huyu bibie Lizzy sijui nayeye kapotelea wapi...Hope na yeye atarudi..