Agogwe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 2,742 Reaction score 3,009 Jan 4, 2018 #1 Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown
Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown
thA goD JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 1,943 Reaction score 1,856 Jan 4, 2018 #2 Nimefungua uzi juu sio kwa kuupenda bali kuchukua avatar yako mkuu.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,781 Jan 13, 2018 #3 Agogwe said: Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown Click to expand... Kwa miye binafsi mzima wa afya kaka.. Hofu na mashaka kwako...mambo yametuzidia wengine siye.
Agogwe said: Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown Click to expand... Kwa miye binafsi mzima wa afya kaka.. Hofu na mashaka kwako...mambo yametuzidia wengine siye.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jan 13, 2018 #4 Wahusika wanakuja maana naona umewataja kwa majina wengine tunajipendekeza Natania tu
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,156 Reaction score 11,608 Jun 12, 2020 #5 Agogwe said: Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown Click to expand... Japo nimechelewa kwa miaka miwili kujibu salamu zako natumai bado uko hai kupokea zangu. Ahsanta kwa kunikumbuka
Agogwe said: Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown Click to expand... Japo nimechelewa kwa miaka miwili kujibu salamu zako natumai bado uko hai kupokea zangu. Ahsanta kwa kunikumbuka