karibu mpare.....
ila hawa jamaa ni wabahili sijapata kuona......kuna jamaa wangu alikuwa anasoma same huko upareni ile shule nasikia walitukanawa na maji....hawapendi kuoga jaaa alikuwa akija likizo anakuja ngozi ina ramani ramani za uchafu alafu anapiga diblo(gitaa) mwili mzima....

nimeoa mpare
karibu shemeji
ila naamini kuwa ukiwa na dem wa kipare hata akifanya madudu gani hakuachi kudadadeki. sasa wale wanaolilia kuachana na madem zao baada ya kukutwa wanamegwa basi wakachumbie upareni au unyakyusani ngoma inogile.
eti shemeji ya kweli hayo`???