Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

Kwa tetesi za sasa Yanga wanasingiziwa, Chama yupo kwenye rada za Yusuph Bakheresa.
Ukiona GENTAMIYCINE Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa Msimu wa 2022 / 2023 anaandika Taarifa ya Kimichezo hapa Kwanza iheshimu kisha ( Pili ) iamini kwa 100% na Tatu Habarika nayo sawa?

Anarubuniwa na Hersi na Ridhiwani.
 
Ninayemuona Huruma zaidi ni Mganda Emmanuel Robert Okwi hasa kwa alichokikifanya na Wadada Waathirika pale PR Lodge Sinza.

Ninaomba niishie hapa tu tafadhali.
Kwani kutembea na mwanamke mwenye ngoma ni lazima mwanaume aambukizwe ngoma?

Unatumia logic gani? Hivi ujuwi kuna binadamu hawaambukizwi ngoma hata wapige kavukavu mwaka mzima demu muathirika? Unalijuwa hilo?
 
Ukiona GENTAMIYCINE Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa Msimu wa 2022 / 2023 anaandika Taarifa ya Kimichezo hapa Kwanza iheshimu kisha ( Pili ) iamini kwa 100% na Tatu Habarika nayo sawa?

Anarubuniwa na Hersi na Ridhiwani.
Kama unakataa haya tupo hapa,mimi resource yangu ni mwandishi wa kujitegemea wa habari za michezo na 80+% ya tetesi zake anazo niambiaga zinakuwaga kweli.

Ila key player sio hao ni Yusuph tena mwamba anaenda front mwenyewe na kitabu chake cha cheki na wanasheria hamna longolongo.
 
Humpendi GENTAMIYCINE ila bado tu unamfuatilia Kutwa ( 24/7 ) hapa JamiiForums tena na Likes unampa katika Threads zake.

Asante Mwenyezi Mungu kwa Shani hii.
😃😃😃Sio nakufuatilia, kwa lipi hasa? Na unataka upost tambo zako za kipuuzi afu tusisome? Ingekua hivyo ungeandika afu usome hapo geto kwako mwenyewe
 
1. Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

2. Baada ya Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

3. Taarifa ikufikie kuwa Juzi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

4. Leo hii tokea Alfajiri hadi Asubuhi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

5. Na wala Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama asizunguke sana

6. Na kwa asichokijua Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

7. Mwambieni Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kuwa

8....(na hata huyu Mchezaji Mpuuzi wenu Clatous Chama ) hata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino".....
[/QUOTE]

🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😁😁😁
 
Mpira wa yanga ni kasi mwanzo mwisho awana muda na mchezaji mwenye mwendo wa konokono kama uyo, nyie acheni maneno mengi mboresheeni maslai yake mliyokubaliana nae, Anadai mkataba wa miaka 3 wenye thamani ya 800milioni na mshahara wa 40milioni kwa mwezi, vinginevyo muuzeni akatafute changamoto mpya kama mlivyokuwa mnachonga ngenga kwa feisal!
 
Kuna Mtu wa kupata Habari za Ndani za Wachezaji wa Simba na Yanga kunizidi Mimi GENTAMIYCINE ambaye 24/7 nakuwa nao na 85% ya Wachezaji wao ni Wana ( Rafiki ) zangu?

Hao Waandishi wa Habari wako wengi Wao huwa wanakuja hapa JamiiForums Kunisoma GENTAMIYCINE nimeandika nini kisha nilichoandika kinafanywa Content katika Media na Blogs zao.

Mfano ni East Africa Radio, Abood Radio ( FM ), Magic FM, Uhai FM na Azam Tv Michezo na Times FM.

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
 
Wapo viongozi waliokuwa wanamtetea ambao nao wamejiondoa wengi baada ya kuona upuuzi. Sasa viongozi wanataka kumuonesha yupo mjini Daslam sio Lusaka kumtia adabu kwa mwenendo wake.

Hii ni Daslam
 
Duu wachezaji wote marafiki zako........aiseee......... brother hii JF kuna watu wapo deep kuliko ww.
 
Chama hawezi kusajiliwa Yanga kwa style hiyo unayotaka kuaminisha watu, team itakayomtaka italazimika kufanya biashara tu hata kama itakuwa ni Yanga.

Lakini hata kama atabaki Simba Sc dawa yake ni kumpiga benchi kwa dharau mpaka pale mkataba wake utakapoisha ili aondoke.

Chama alikuja Simba Sc akiwa ni player wa kawaida kisha akaupatia umaarufu hapo na kinachommaliza ni kufuata praise za mashabiki wajinga kama wewe waliopo ndani na nje ya Simba Sc, nje ya Simba Sc Chama ni kilaza tu, ndiomaana Berkane akishindwa na hata team ya taifa huwa hana lolote la maana.


Dawa yake ni benchi ama wamuuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…