desmond dekker
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 201
- 245
habari za saa hizi wanajukwa?moja kwa moja nielekee kwenye mada
katika maisha ni kawaida kumpongeza yeyote mwenye jitihada katika mambo ya kawaida.ila huwa tunasahau kuwapongeza wenzetu kutokana na hekima na busara zao katika mambo mbali mbali.leo ningetaka kuwapongeza WANAWAKE kadhaa humu sio kwamba ninawajua zaidi ya humu jf ila kwa hekima na staha katika uchangiaji wao,nimeridhika kwamba wanastahili pongezi.
1.SAKAYO.
huyu ni mwanamke mmoja mwenye sababu zote za kumfanya awe mwenye maringo na kujiona yeye tu ndiye anayefaa kutokana na uzuri wake.ila,hana tabia za hivyo..ni mustaarabu sana tena mwenye hekima.anajua wapi achangie na wapi asichangie.ni stadi wa kutia moyo na kushauri pia.avatar zake zinaonyesha ni mwanamke aliyetulia hana mbwembwe.
2.SHUNIE
tunapo ongea kuhusu wanawake wazuri,Shunie ni miongoni mwao.ana busara na wingi wa hekima.zaidi ya busara yake,ana uwezo wa kufariji na kuarifu.
3.UKHUTY
pia napenda kumuita (nitarudi).hana maneno mengi na hapendi kusema sana.ila ukiona amezidisha laini mbili za ujumbe,basi tegemea maarifa ya kipekee hapo.
4.MBITIYAZA
gwiji wa maswala ya ndoa.ukitaka ushauri wa kipekee basi muone huko pm sizani atakupotezea kama una heshima
5.FAIZA FOXY
hapa sisemi sana.wengi tulioweza kufuata nyuzi zake mtakubaliana nami kwamba Faiza ni mwalimu aliyetukuka
6.BIBOOO
wengi najua hamufahamu huyu bidada.zaidi ya urembo ana busara kama ukifuatilia content zake kwa ufasaha.
7.KAPEACE
huyu ana utani sana katika uandishi wake.ila ndani ya huo uandishi utapata maarifa ya kutosha kutatua matatizo yako.
8.RUBII
namkubali sana huyu mwanamke..hata kama yupo very harsh ila anastahili kupongezwa kwa mchango wake katika maswala ya mapenzi.
9.ESPY
huyu ni mpole hana mambo mengi.ila ukimfuatilia ni stadi wa kuhimiza,kurekebisha,kushauri na pia kukemea.zaidi ya hivyo,yupo makini sana.
10.HEAVEN SENT.
huyu naye ana ushauri sio wa nchi hii.yani ukisoma tu shauri zake hasira zinakuisha kichwani unatamani hata angekuwa mkeo.pia,ana maarifa na anajua wapi achangie nini na wapi asiseme nini.
NB:ni mtazamo wangu tu tena wapo wengi wenye sifa zinazovutia.kwa sasa nikomee hapo ila nikipata muda nitazidi kuorodhesha wengine.kwa waliotajwa,ninawashukuru sana kwa niaba ya jukwaa hili kwa michango yenyu.mzidi hivyo hivyo.
>>NITARUDI<<

namkubali sana huyu mwanamke..hata kama yupo very harsh ila anastahili kupongezwa kwa mchango wake katika maswala ya mapenzi.9.ESPY