Mkuu Bramo,
Tuendelee kuwa pamoja katika kuhakikisha nchi yetu inakuwa salama zaidi...
Acheni kushabikia uvamizi dhidi ya Rwanda ili nchi yetu iwe salama. Mambo ya familia yabaki kwenu.
Mkuu Bramo,
Tuendelee kuwa pamoja katika kuhakikisha nchi yetu inakuwa salama zaidi...
Acheni kushabikia uvamizi dhidi ya Rwanda ili nchi yetu iwe salama. Mambo ya familia yabaki kwenu.
Yaani kuwapongeza vijana hodari walioweka maslahi ya Taifa mbele ni unafiki? Jamani, upinzani sio kupinga kila jambo...
Haswaaa ni unafiki wa hali ya juu. Mnagombea nini na KAGAME? Kavamia Tanzania? au ni ugomvi wa mademu?
Ameogopa aliposikia wanyarwanda wanarudishwa kwaoHivi huyu jamaa bado anaexist, mimi nilishasahau kama duniani kuna mtu kama yeye!!!
Kuna watu wanadhani upinzani maana yake ni kuoinga kila kitu. Hata ukiwapongeza wanapinga!!!
Jamani, upinzani sio kupinga kila kitu...
Wewe sasa unaharibu mada...
Kuna mada hapa au ushabiki wa kifamilia? Hakuna ajenda ya kitaifa hapa. Heri hata mgogoro na malawi una mantiki.
Azungumze kwanza na wapinzani(JK) ...Kagame yuko sahihi Kabisa maana kwake wale ni waharifu tofauti na wanopigwa mabomu na risasiTz (wapinzani)Mkuu,
Kwa sasa tufuate mfano ulioonyeshwa na vijana wa Chadema wa kumsikiliza kiongozi mkuu wa nchi yetu anavyoelekeza ili kuhakikisha nchi yetu inaendelea kuwa salama.
Kuna mada hapa au ushabiki wa kifamilia? Hakuna ajenda ya kitaifa hapa. Heri hata mgogoro na malawi una mantiki.
Kweli kabisa mkuu malawi ni very genuine sio huu ambao wote wawili wanamaslahi kwenye madini ya kongo
Ndiyo maana hawati kabisa habari ya Kagame na JK kumaliza uhasama wao kwa mazungumzoKweli kabisa mkuu malawi ni very genuine sio huu ambao wote wawili wanamaslahi kwenye madini ya kongo
Kwenye msafara wa mamba, kenge pia wamo...
migogoro yakujitakia hii kama huu wa kagame....hautuhusuYote miwili ni migogoro na yote inapaswa kushughulikiwa...
khah! utazungumza na competitor wako kwenye business whether legal or illegal?Ndiyo maana hawati kabisa habari ya Kagame na JK kumaliza uhasama wao kwa mazungumzo
Hao vijana wa Chadema wanaozungumziwa hapa ni akina nani? Na walifanya za lini huo msimamo?Ila kwenye hili na mimi yanipasa nijikaze kisabuni na niwape hongera vijana wa CHADEMA (makamanda) kwa kumuunga mkono mhe rais Kikwete kwa ushauri wake kwa Kagame, ni jambo la kupongezwa kwani tumeonyesha umoja wetu na mshikamano kama taifa yanapokuja mambo ya mahusiano ya kimataifa.
Hao vijana wa Chadema wanaozungumziwa hapa ni akina nani? Na walifanya za lini huo msimamo?
Hii thread ni ya kuwapongeza wanachama wa Chadema. Kwani wewe ni Chadema?
Mimi sio CHADEMA ila ni mwanachama wa chadema.