Nawapongeza CHADEMA

Nawapongeza CHADEMA

Mkuu, matendo yote yanayoleta amani, usalama na maendeleo nchini yanastahili kupongezwa...

Yani Kikwete atoe lugha tatanishi halafu tuiingize nchi kwenye ugomvi na nchi nyingine, mmeanza jazba za kuwafukuza warwanda leo, kwani mlikuwa wapi mpaka wanaolewa na kupata watoto..
 
c5877830e119e6a9edac18f6be32c994_xlarge.jpeg

Wapeleke familia zao kupigana vita vya kipuuzi.
 
Mkuu, ninafikiri ulipaswa uibadilishe hiyo heading kwa sababu mpaka sasa hakujatolewa official statement ya CHADEMA ili kufahamu position ya chama kuhusiana na mikwaruzano ya Tanzania na Rwanda.

Ingekuwa vizuri ukaandika kuwapongeza BAADHI YA WANACHADEMA kwa sababu kuna wengine bado hawakubaliani na ushauri uliotolewa na Rais Kikwete kwa Rais Kagame.

Hili wazo tu.

Anatulisha maneno mimi period siungi mkono ushauri wa Kikwete kwa Kagame hakuutoa kwa burasa, alimuimbarance mkuu wa nchi mwenzake mbele ya waasi wanaoipinga serikali yake, ulitegemea Kagame areact vipi?
 
Mkuu Curicullum,

kwenye hili kwanza tuweke tofauti zetupembeni. Tuige mfano wa vijana wa Chadema kumuunga mkono rais.

Maslahi ya Taifa yawe mbele...

Hakuna kijana wa CHADEMA anayeunga mkono kuiingiza nchi vitani kwa ugomvi wa familia.
 
Mkuu,

Swala la usalama wa raia wetu lazima liwe kipaumbele. Vijana wa Chadema wameonyesha ARI ya kuelewa umuhimu wa usalama wa raia. Wanastahili pongezi.
Hakuna mtu wa CHADEMA anayeshabikia bifu za kutengeneza na kuiingiza nchi vitani kwa kisingizio cha kulinda amani.
 
tenende hicho unachofanya kinaqualify kuitwa FUJO...
 
Last edited by a moderator:
Anatulisha maneno mimi period siungi mkono ushauri wa Kikwete kwa Kagame hakuutoa kwa burasa, alimuimbarance mkuu wa nchi mwenzake mbele ya waasi wanaoipinga serikali yake, ulitegemea Kagame areact vipi?

Mkuu,

Maamuzi mliyofanya ni ya kijasiri ndio maana hata watu waliokuwa wanaipinga Chadema sasa wameanza kufurahishwa kuwa mnaonekana mmekomaa kisiasa.

Maslahi ya nchi siku zote yanatakiwa yawe mbele...
 
Watanzania lazima tujifunze kuappreciate vitu vinavyostahili appreciation.

Mtu akifanya jambo zuri, hata kama ni mpinzani wako, kaza roho umpongeze.

Chadema ni watani wangu wa jadi. Katika historia yangu nimeshawahi kuwapongeza, lakini sijawahi kuanzisha thread ya kuwapongeza.

Leo ninawapongeza.

Kufutia hali ya mahusiano kati ya Tanzania na Rwanda, kumekuwa na hali tete kisiasa.

Chadema kama chama cha upinzani kimeonyesha kwa kiasi kikubwa kutambua umuhimu wa kuwa makini katika swala hilo. Kitendo cha Katibu Mkuu wa Chadema, kwa utashi wake binafsi usiokuwa na uhusiano na maamuzi ya kikao chochote cha chama, kupinga maamuzi ya Tanzania na kutetea kejeli kwa nchi yetu toka Rwanda kumepingwa vikali na wanachama wa Chadema. Hii ni dalili nzuri na inastahili pongezi.

Kama tutaendelea kuweka mbele maslahi ya taifa na tofauti za kiitikadi za kisiasa na nyinginezo pembeni basi hakuna kitakachotuzuia kupiga hatua zaidi za maendeleo.

Nimefurahishwa na kitendo cha vijana wa Chadema kuunga mkono uamuzi wa Rais wetu wa kuendesha operation maalum ya kuondoa wahamiaji HARAMU wanaofanya watanzania wasiendelee na shughuli zao za kila siku kwa amani.

Cha kufurahisha zaidi ni kwamba vijana wa Chadema wamesimama kidete kuwakemea wanaharakati (hasa wale wanaoishi nje ya Tanzania) wanaokejeli jitihada za Rais katika kuhakikisha wakazi wa mkoa wa Kagera, Kigoma na Geita hawapati bughudha.

Hii ndio Tanzania tunayoitaka, ya watu wanaojua wanachokitaka na kukipigania bila kujali itikadi zao. Wote tuendelee kupigania jambo moja - Tanzania iwe sehemu bora zaidi kuishi.

Mungu Ibariki Afrika,

Mungu Ibariki Tanzania...

Huwezagi kuongea mambo ya maana tupu wewe! Lkn magamba ndivyo mlivyo hadi JK!
 
Kuna watu wanadhani upinzani maana yake ni kuoinga kila kitu. Hata ukiwapongeza wanapinga!!!

Jamani, upinzani sio kupinga kila kitu...
 
quote_icon.png
By ZeMarcopolo Kufutia hali ya mahusiano kati ya Tanzania na Rwanda, kumekuwa na hali tete kisiasa.

Kitendo cha Katibu Mkuu wa Chadema, kwa utashi wake binafsi usiokuwa na uhusiano na maamuzi ya kikao chochote cha chama, kupinga maamuzi ya Tanzania na kutetea kejeli kwa nchi yetu toka Rwanda kumepingwa vikali na wanachama wa Chadema. Hii ni dalili nzuri na inastahili pongezi.

Kama tutaendelea kuweka mbele maslahi ya taifa na tofauti za kiitikadi za kisiasa na nyinginezo pembeni basi hakuna kitakachotuzuia kupiga hatua zaidi za maendeleo.

Wewe hujapongeza unawavisha watu kilemba cha ukoka!...
1.hakuna hali tete kisiasa
2.hakuna aliyempinga katibu mkuu
3. ni mgogoro wa familia si taifa.
 
Mkuu ZeMarcopolo

Wewe na HAMY-D mna sifa Moja Kuu inayoshabihiana (Achilia Mbali kuwa wana Buku 7 Project Fame , Lumumba)
Mna ka tabia ambako Vigori (Walembwende) wengi wanakapenda, nako ni Kusifiwa na Kuji Komba Wana ume.
Kwa Case yenu, Mnapenda sana kupata Credits ama sifa kutoka CHADEMA, Huwaga mnajisikia Rahaa sanaa Pale mnapoona Kuna Kiongozi wa CHADEMA
Katoa Tano kwa CCM, na huwaga hamjifichi Kabisaa.

Mashalaah, nsije sema sana mwishowe nkapata Laana,Haya yote kazi ya Maulana.
Sijajua jinsia yenu, ninge Draw a very Nice Conclusion
 
Mashalaah, nsije sema sana mwishowe nkapata Laana, sijajua jinsia yenu, ninge Draw a very Nice Conclusion

Mkuu Bramo,

Tuendelee kuwa pamoja katika kuhakikisha nchi yetu inakuwa salama zaidi...
 
Watanzania lazima tujifunze kuappreciate vitu vinavyostahili appreciation.

Mtu akifanya jambo zuri, hata kama ni mpinzani wako, kaza roho umpongeze.

Chadema ni watani wangu wa jadi. Katika historia yangu nimeshawahi kuwapongeza, lakini sijawahi kuanzisha thread ya kuwapongeza.

Leo ninawapongeza.

Kufutia hali ya mahusiano kati ya Tanzania na Rwanda, kumekuwa na hali tete kisiasa.

Chadema kama chama cha upinzani kimeonyesha kwa kiasi kikubwa kutambua umuhimu wa kuwa makini katika swala hilo. Kitendo cha Katibu Mkuu wa Chadema, kwa utashi wake binafsi usiokuwa na uhusiano na maamuzi ya kikao chochote cha chama, kupinga maamuzi ya Tanzania na kutetea kejeli kwa nchi yetu toka Rwanda kumepingwa vikali na wanachama wa Chadema. Hii ni dalili nzuri na inastahili pongezi.

Kama tutaendelea kuweka mbele maslahi ya taifa na tofauti za kiitikadi za kisiasa na nyinginezo pembeni basi hakuna kitakachotuzuia kupiga hatua zaidi za maendeleo.

Nimefurahishwa na kitendo cha vijana wa Chadema kuunga mkono uamuzi wa Rais wetu wa kuendesha operation maalum ya kuondoa wahamiaji HARAMU wanaofanya watanzania wasiendelee na shughuli zao za kila siku kwa amani.

Cha kufurahisha zaidi ni kwamba vijana wa Chadema wamesimama kidete kuwakemea wanaharakati (hasa wale wanaoishi nje ya Tanzania) wanaokejeli jitihada za Rais katika kuhakikisha wakazi wa mkoa wa Kagera, Kigoma na Geita hawapati bughudha.

Hii ndio Tanzania tunayoitaka, ya watu wanaojua wanachokitaka na kukipigania bila kujali itikadi zao. Wote tuendelee kupigania jambo moja - Tanzania iwe sehemu bora zaidi kuishi.

Mungu Ibariki Afrika,

Mungu Ibariki Tanzania...

Updates:::::

Acha unafiki.
 
Mkuu ZeMarcopolo

Wewe na HAMY-D mna sifa Moja Kuu inayoshabihiana (Achilia Mbali kuwa wana Buku 7 Project Fame , Lumumba)
Mna ka tabia ambako Vigori (Walembwende) wengi wanakapenda, nako ni Kusifiwa na Kuji Komba Wana ume.
Kwa Case yenu, Mnapenda sana kupata Credits ama sifa kutoka CHADEMA, Huwaga mnajisikia Rahaa sanaa Pale mnapoona Kuna Kiongozi wa CHADEMA
Katoa Tano kwa CCM, na huwaga hamjifichi Kabisaa.

Mashalaah, nsije sema sana mwishowe nkapata Laana,Haya yote kazi ya Maulana.
Sijajua jinsia yenu, ninge Draw a very Nice Conclusion

Bila kumsahau kubwa jinga, Ajuza55 le baharia.
 
Back
Top Bottom