Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
Vp umefika na kirumba, ghana, kiseke, kigoto, kitangiri, kapiripoint, bujora(makumbusho), mkuyuni, luchelele, nyegezi beach?
Mkuu habari za rocky city hasa mitaa ya pale makoroboi, mitimirefu, igoma, na kwingineko?
Yah wifi yako anawapenda usisahau kumletea au unaweza kuwatuma kupitia western union, ila pale kati dah
Makoroboi pale ni hatari tupu hasa mida ya night
aisee nilikuwa namalizia issue flani kesho ndo naanza matembezi rasmi. Nataka nilist sehemu zote nizifanyie scale of preference
Kila laheri mkuu, Mwanza mji mzuri, fresh air, fish, sweet potatoes na kila kitu kwa kweli utaenjoy.
Mmmhh! Asprin?
Makoroboi pale ni hatari tupu hasa mida ya night
ndo zako eeeh,
sweet sweetlady?uko wapi njoo usikie mwenyewe
yah hope so,na wewe upo huku?
Mkuu habari za rocky city hasa mitaa ya pale makoroboi, mitimirefu, igoma, na kwingineko?
Makoroboi MZA =Manzese uwanja wa fisi DSM, am I right mr. Nitonye?
Unataka kuleta ugomvi tu wewe nitakupa andazi usiseme sawa binti mzuri eh
Upo right kabisa yaani panafurika ile mbaya ila mimi nilikuwa napita tu naenda kwenye shughuli zangu
Na Igogo... Au wapi pale..
Upo right kabisa yaani panafurika ile mbaya ila mimi nilikuwa napita tu naenda kwenye shughuli zangu
Hapana mkuu kwa sasa niko dsm ila natarajia kua mza by the end of this month.
kumbe wateja mko wengi?kweli hii biashara haiwezi koma
Ulikua ukipita mchana au usiku?
chitaki nimesema,lazima nikusemee kumbe na wewe ni mteja wa tax bubu lol utakuja kuniulia wifi yangu kipenzi buree