Nawapenda sana wanawake

ooops ndo ushaanza? hahahahahah that is very nice.

Mimi nipende tu ile ya kawaida maana nimewekewa kale kaspido gavana
Ma first lady wanacheat we unashindwaje bwana, pls bana usinibanie jje's
 
Ma first lady wanacheat we unashindwaje bwana, pls bana usinibanie jje's
tumekubaliana not to. usinidanganye mkuu acha utani.

this is our moto to remain faithfull and our family is happy ever.
STUNTER unamsikia huyu jamaa alivyo mkora?
 
Wanaume wote tuko hivi, yaani hata wakipangwa wanawake 100 na wote wawe wazuri sana na akaambiwa amchague mzuri zaidi, kweli atafanya hivyo but still hao 99 atakao waacha bado roho itamuuma tu kuwaacha.
 
tumekubaliana not to. usinidanganye mkuu acha utani.

this is our moto to remain faithfull and our family is happy ever.
STUNTER unamsikia huyu jamaa alivyo mkora?
Mpaka mwanaume anajiita MZURI, wewe hushtuki tu baby?
 
hongera ila watakacho kufanya vijana wa mjini hutaamini yan
 
mkuu unajua kuwa serikali ilishapiga marufuku vilainishi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…