Nawapenda sana wanawake

Hapo kwa wanawake wote unatamani uwe nao kimapenzi kumbuka na mamako yuko ndani ya hao wanawake wote duniani samahani kama umekwazika
Hawezi kukwazika kwa sababu kamanisha wanawake wote duniani
Akiwemo aliyemleta duniani, pamoja na Dada zake.
 
Kwahiyo na mama yako...Shangazi.....dada..bibi yako wote hao unataka uwafanyie hivyo?
 
me nilidhani upendo wa kawaida kumbe wa kimapenzi,,aise we nikikukuta na demu wangu ntakupeleka kwa makonda
huyo demu wako mwambie awe na msimamo maana akikutana na boy na maupendo alonao utaumia mkuu
 
Sasa je !!!??? Njoo PM tuyajenge kabisa mamy
ooops ndo ushaanza? hahahahahah that is very nice.

Mimi nipende tu ile ya kawaida maana nimewekewa kale kaspido gavana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…