Mkuu naona wewe ni Mgeni humu, first to reply alikuwaga Jose***rest alijichukulia umaarufu sana. Saivi ikitokea mtu kakoment kabla yake ndo kamsemo kale kanatumika. So demiss kawahi seat. Clear man?Sasa nani kakalia seat ya watu...hapo..ni mimi au demis?
Nyoosha maelezo mkuu.....
Huwa sishughulikii habar za misemo..Mkuu naona wewe ni Mgeni humu, first to reply alikuwaga Jose***rest alijichukulia umaarufu sana. Saivi ikitokea mtu kakoment kabla yake ndo kamsemo kale kanatumika. So demiss kawahi seat. Clear man?