nawapenda mabinti hawa

Status
Not open for further replies.

mmmh we ni mjinga
 
nawe itabidi usilimu kwani uislamu ndio dini ya usafi wa moyo na kiwiliwili hizi dini nyengine ni ulaghai
 
imekugusa miss chagga! tatizo wengi mnafuga makucha sasa hapo utafanyaje usafi ndan ya....

ninakaa na hao watu mchana na usiku na amna ukweli any way sipendi zungumzia hoja nyepesi hasa zinzohusisha imani za watu amna logic.... na wala mimi haijanigusa naona ni upuuzi tu na ufinyo wa kufikiri... na kukosa ya kufikiri
 
Ni kweli kabisa. Huyu jamaa wa mawazo mfino hana tofauti na yule anayesema kutumia kondom ni dhambi lakini uzinzi bila kondom siyo tatizo.

unaweza ukamquote mtu aliyesema uzinzi bila condom sio dhambi,reference tafadhali naomba kujulishwa
 
ninakaa na hao watu mchana na usiku na amna ukweli any way sipendi zungumzia hoja nyepesi hasa zinzohusisha imani za watu amna logic.... na wala mimi haijanigusa naona ni upuuzi tu na ufinyo wa kufikiri... na kukosa ya kufikiri

pole ila mleta mada hana nia mbaya ingawa katumia maneno makal lengo lake ni watu wabadilike inaonekana kuna sehemu alikwenda akakuta mambo sio
 
Mtoa mada inaelekea umefanya au unafanya ka utafiti wa uhusiano kati ya usafi wa nyuchi na imani za dini.
Sample yako ni kubwa kiasi gani?
Ili tuamini findings zako ulizotaja kwenye huu uzi wako.
 
naona umeandika maneno ya Kiswahili ila hayaeleweki...au na wewe umetoka kwenye chumvi ya tishu pepa nini mkuuu?
 
ndio ulowafuata huku? kwenu hawapo?
 
naona umeandika maneno ya Kiswahili ila hayaeleweki...au na wewe umetoka kwenye chumvi ya tishu pepa nini mkuuu?

Chumvi ndio nini? Jibu maswali unayoulizwa, anza na lile la Karucee halafu ujibu na hilo hapo juu. Kama majibu yako ya hayo maswali hayasupport uzi wako basi ujifunze kuzuia kuropoka.
 
Ni kweli huko wanakoelekea watasema Bosi wako alibaka mtoto wa miaka 9
 
Inatgemea ntu na ntu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…