illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Hivi ni imani ama ni tabia ya mtu?
Kama ni imani je, zinaa imeruhusiwa ?
SMDH. What a shallow mind.
Hawa naowajua mimi hawafanyi zinaa ndugu sijui we unaongelea wapi
Jamani mi nawapenda mabinti wa hi imani fulani ni wasafi wakienda msalani wanajisafisha kwa maji, wana amini kuwa kulala na janaba ni dhambi na kinyaa hivyo wanajitahidi kuwa wasafi muda wote wanatusaidia sana sie tunaopenda kwenda chumvini kwani hatukutani na harufu kali, mnapokuwa eneo la tukio huwa wanazana muhimu kuhakikisha matandiko haya chafuki na hata yakichafuka basi huwa wanafanya namna ili msilalie uchafu
Mimi ndio mwanzilishi wa mada ila huku tunapoelekea naona kama hali ya hewa inaanza kuwa siyo nzuri basi mods ruksa toa hii kitu humu
Hawa naowajua mimi hawafanyi zinaa ndugu sijui we unaongelea wapi...na hata kama wanafanya zinaa, na wale wa imani za tishu pepa pia wanafanya zinaa basi ukiniambia nichague bado ntachagua hawa wa kujiswafi