Ndoto ni kiashirio cha yale yanayotendeka ktk ulimwengu wa roho. Kuota unafanya ngono kwa namna yoyote ile ni kuwa una spiritual agent anaecontrol sexuality yako. Mambo hayo yanaimpact kubwa ktk maisha yetu ya rohoni, mwilini na pia mahusiano yetu ktk jamii huathirika vibaya kwa njia moja au nyingine; kwamba unaweza ukawa na mafarakano yasiyoeleweka kuanzia nyumbani, kazini hadi mtaani. Hvyo kama huyu mama hajawai kufanya hvyo amshukuru Mungu na aingie ktk toba kwa kufanya maombi ya kufunga japo kwa siku 3 hadi 7. Kwa kuwa jambo hlo lipo kiroho zaidi bs unapaswa kulitatua kiroho kwa kudumu ktk maombi. Nafaham historia ya mtu aliekuwa na tatizo kama lako, alianza kuota, akaanza kushika shika wenzie matiti na makalio na aliponea chupuchupu kuwa msagaji ila alipata msaada wa kiroho na alipona.