Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,341
Uzi wa kuwaliwaza wana-CCM huu!Eti..."na sisi tutaanza safari za Asia si muda ..."Hahahahahaaaaaaaa
NdotoMembe for presidency before 2020
![]()
Tulikuwa tuna uongozi mbovu sana.Madeni ya taifa ya Kenya navya kwetu hayajapishana sana. Lakini Kenya kuna flyovers sisi tumepata darasa la Mfugale juzi. STD gauge inakaribia kukamilika. Kenya Airways inatekenya mawinguvya Trump.
Sio wana ccm, ni uzi wa kuwaliwaza watanzania wazalendo.Uzi wa kuwaliwaza wana-CCM huu!Eti..."na sisi tutaanza safari za Asia si muda ..."Hahahahahaaaaaaaa
AmenGet well soon Lissu
Aisee kumbe anaongea tu bila hata kuwa na uhakika.Naona unajaribu kubadili gia angani hovyo kabisa
Deni LA Kenya ni Mara 3 ya tz
Nafikiri uone wivu jinsi mpinzani Odinga anavyoheshimiwa na utawala. Hapa kwetu usipopatwa na risasi basi ni rumande kila siku.
Heshima ni jambo la bure, ukijiheshimu, utaheshimiwa!
Mbona Magufuli hatishi...kama anatisha jaribu kwenda kinyume na maagizo yake. Utakiona cha mtemakuni.Na anatakiwa awaheshimu raia wake ili nao wamheshimu, sio kuwatisha ili wamwogope.
Inategemea kama mtazamo wako ni sawa na wake.Mbona Magufuli hatishi...kama anatisha jaribu kwenda kinyume na maagizo yake. Utakiona cha mtemakuni.
Sheria haitishi mkuu.
Tumuacheni ajenge nchi ambayo wengine waliibomoa.Inategemea kama mtazamo wako ni sawa na wake.
Kazaliwa 2015, wakati inabomolewa hakuwepo. Sawa!Tumuacheni ajenge nchi ambayo wengine waliibomoa.
Issue hakuwa na Rungu.Kazaliwa 2015, wakati inabomolewa hakuwepo. Sawa!
Umeelewa uzi au?Mipango+jitihada=mafanikio hakuna kitu inakuja kwa muujiza hakuna haha ya kuwaonea wivu angalia vyako panga piga jitihada hakika utafanikiwa (poor mind discuss people,average mind discuss events but best mind discuss ideas)
Unapoambiwa kitu usiamini kwanza kabla ya kufikiria nani kasema na ni kwanini.Mchakamchaka wa kuitia nchi hasara kwa kulipa mikataba iliyovunjwa kiholela, kugawa nyumba kwa ndugu, Rafiki na wapenzi, kuwatia mshike mshike wazabuni ili nyuma ya mlango wamrudie, hayo yaliripotiwa.