Nawaombeni munijulishe

Nawaombeni munijulishe

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF kuna rafiki yangu kaowa wiki mbili zilizopita ila tatizo linalomsumbua na kumkwaza ni kua mke wake anapata maumivu makali sana wakati wa tendo na kibaya zaidi ni kua hafurahii tendo kabisa kwani wanapojamiiana mke wake hulalamika sana kua anakua na muashi wa ajabu.

Kama ikitokea kutokumzuiya au kumfungulia feni akaelekeza ktk ile sehemu anaweza kujikuna hadi ukamuonea imani au ukazani kua itabanduka

Suali ni kua
1 Tatizo hili linasababishwa na nn?
2 Tiba yake ni nn?

Najisikia huruma sana kwao wanataka raha na furaha na kujenga ndoa yao ila kwao ni maumivu matupu
 
The most correct answer to your inquiry is to tell your friend to consult a Gynaecologist quickly.
 
Hyo mwanamke alikua bikra??
Kwa uzoef wanq miwasho hyo hutokana na fanqasi, kuhusu kuumia embu jibu swal lanqu hapo juu kwanza.
 
ni tatizo kama matatizo mengine, cha muhimu ni kwenda hospital wamwelezee docta, atapata matibabu mungu akipenda atafurahia tendo kama wanawake wenzake'
 
Zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke kupata maumivu makali wakati wa tendo au baada ya tendo moja ya sababu hizo nikwamba mwanamke anaweza kupata maumivu makali ikiwa kama ana michubuko midogo midogo katika sehemu yake ya uke na michubuko hiyo inaweza kutokana na sababu binafsi kwa upande wa mwanamke mwenyewe katika sehemu yake husika ya uke wake pia michubuko mingine inaweza kutokana na maradhi madogo madogo kama fangazi za sehemu za siri kusababisha muwasho katika eneo hilo na kila anapojikuna kunatokea michubuko hiyo kama madonda madogo madogo sasa akija kukutana na mwanaume lazima atahisi maumivu kutokana na michubuko iliyopo katika uke wake.

Sababu nyingine ambayo wengi hawaifahamu, unaweza kupata maumivu makali sehemu ya uke kipindi unashiriki tendo ikiwa kama huna hisia wakati ule niwazi kuwa endapo kama utakuwa unafanya mapenzi na mpenzi wako lakini haujisikii kufanya lile tendo ni dhahir kuwa kuna vitu vitakosekana katika maandalizi ya awali kabla ya tendo si rahisi maji maji ya uke kutoka ikiwa kama huna hamu ya tendo ambapo haya maji maji ni muhimu kwa ajili ya kulainisha eneo zima la uke na kusaidia kusiwepo michubuko wakati wa tendo lakini kama maji maji ya kwenye uke hayatatoka ni rahisi kupata maumivu wakati wa tendo kwani uke wako utakuwa ni mkavu sasa kipindi mwanaume anachovya chovya soseji yake katika uke wako lazima kutatokea michubuko ambayo itakufanya uumie kipindi upo katika tendo au baada ya tendo pia vile vile hii ina changia hata kwa wanaume kushindwa kutumia muda mwingi kumuandaa mwanamke na kuwa na pupa ya kuwah kuingiza uume katika kisiwa cha burudani ikiwa mpenzi wake bado hajafikia hatua za mwisho za kuingiliwa hivyo kumsababishia mwanamke maumivu makali katika uke wake.
 
Ila muwasho hutokea baada ya kufanya tendo la ndoa tuu kama atapitisha siku bila ya kufanya basi hua hakuumi wala hakuna muasho ila kama atafanya tuu aidha akiwa anaendelea kufanya au baada ya kumaliza basi ndio muasho huchukua nafasi yake
 
Mara nyingi kwa huku kwetu pemba unapata bikra original na sio ya kutengeneza au ya kichina
 
Ndio alimkuta bikra
Kama alikuwa bikra huenda hiyo ndio sababu iliyompelekea kupata maumivu hayo kwani hakuwahi kukutana kimwili na mwanaume hivyo kumfanya kupata maumivu kwani ndio mara yake ya kwanza.
 
huu ni ugonjwa ambao husababishwa na bacteria ama fungus aina ya candida inaweza kuwa ni signs za magonja ya maambukizi kama herpes, chlamydia na bacterial vaginosis. hapa namshauri aende hosp ili kuweza kupatiwa dawa. ila ikumbukwe pia usafi ni muhimu sana kwa huyu mwanamke na anatakiwa awe na limiting number of partners ili kuwepa chances za kupata HIV. but wewe umesema ni bikra so bado urgument yangu itakuwa kwenye hii scenario ya pili

kwamba ikumbukwe muda mwingine huu ugonjwa huwapata watu ambao wanakaribia ama wako kwenye menopouse na hii ni kutokana na kupungua kwa level za oestrogen sasa inamlazimu huyu dada kwenda hosp mapema manake waweza kukuta may be menopouse nataka kumpata akiwa na umri mdogo.

mimi sio Dr nimejaribu tu kueleza kialimu ila namuomba Riwa na Maprocin waje wampe ushauri wa kitabibu.
 
Last edited by a moderator:
Kama alimkuta bikra ajaribu pengine huenda atafirahia nina hakika pengine hakutakua na bikra wote wafurahia ndoa yao nampongeza kwa kumuoa bikra.
 
Ila muwasho hutokea baada ya kufanya tendo la ndoa tuu kama atapitisha siku bila ya kufanya basi hua hakuumi wala hakuna muasho ila kama atafanya tuu aidha akiwa anaendelea kufanya au baada ya kumaliza basi ndio muasho huchukua nafasi yake

Sababu nyingine ni uvimbe katika kizazi(Fibroids): Uvimbe huo, ambao si saratani, umekuwa ni tishio kwa maelfu ya wanawake nchini jambo linalosababisha wengi wao kuondolewa vizazi vyao.

Fibroids kwa kitaalamu ‘leimyoma' ni uvimbe unaowapata asilimia 25 ya wanawake wa Kiafrika na asilimia 50 ya Wazungu.

"Nasisitiza kuwa, uvimbe huu si saratani, unajitokeza ama katika ukuta wa kati, wa nje au ndani kabisa ya nyumba ya uzazi,"

Uvimbe huu huwa katika umbile la misuli myembamba na laini na hukua siku hadi siku, sababu kuu ya ugonjwa huu bado haijajulikana.

Pamoja na kuwa sababu kuu haijajulikana, lakini zipo sababu ambazo zimehakikiwa kusababisha mwanamke kupata uvimbe wa fibroids.

Sababu inayopewa kipaumbele zaidi ni wingi wa vichocheo vya ‘estrogen' ambavyo vipo katika miili ya wanawake, vichocheo hivi ndivyo hufanya kazi katika mwili wa mwanamke na kumsababishia kupata siku zake za hedhi. Ndiyo maana wengi wanaopata uvimbe huu, huwa ni wanawake walio katika balehe au ambao tayari wamevunja ungo, kwani ndiyo ambao huzalisha vichocheo vya estrogen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom