Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
- Thread starter
-
- #61
Qur an 5: 26Weka nukuu ya Aya madai Yako , umeyatoa wapi kwenye Koran ?
Mimi naweka
Nukuu
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
Naam. Bila ya shaka Mwenyezi Mungu atahukumu kwa hakiSkilizeni Enyi watu achani kugombana kwa sababu za kiimani na kidini.
Naunga mkono wapalestina waishi kwa Amani Katika ardh Yao naunga mkono wa waisrael waishi kwa Amani bila kupiga mabom sehemu za makazi ya watu.
Je Mungu ni Mmbaguzi ? La asha niseseme mm ! Ila kwakuwa mm ni mkristo nione ni sawa' kwa wapalestina kuwawa? Hivi kweli watu hawana ubinadamu kabisa?
Wayaudi wanaofanya vita hawa mwamini Kristo naye mwamini na pia wao Wana dini Yao.
The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians .
I'm standing with Humanity instead of those who's killings innocent people.
Hiyo tafsiri umeielewa vibaya rudi ukaisome upya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli ambao wanaogopa kuukiri hadharani.
Apo omesema miaka 40 nataka Aya Allah alisema walinyang'anywa na MunguQur an 5: 26
(Mwenyezi Mungu) akasema. Basi nchi hiyo wameharimishiwa (mayahudi) kwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotofu
๐๐๐๐Hilo taifa limeundwa mwaka 1948.
wakatafute ardhi yao.hao walishagombana na mungu kitambo akawaacha waangahike wazurure tu.hapo sio kwao
Allah alikuwa msanii sana. Huko akhera ni ngono tuQur an 5: 26
(Mwenyezi Mungu) akasema. Basi nchi hiyo wameharimishiwa (mayahudi) kwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotofu
Kaka leo hii TANZANIA NA AFRIKA kwa ujumla kuna waarabu, wazungu, wahindi, wachina, na kila aina ya watu tena ata Tamaduni zao ndio zimeshika kasi na kunabaadhi ya Nchi apa Afrika wanawabagua waafrika Asili tena kunabaadhi wanadhihaki mpaka tamaduni za waafrika Asili.Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina
Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.
Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.
Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki
Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.
Allahumma Amiin Amiin
mbona ndo nipo huko.๐๐๐๐
Tangu lini mtoto wa kijakazi akawa na miliki?
HAMAS wametoa nafasi za kazi ukajiunge nao km mwanajeshi. Mshahara, utalipwa na Allah
Vita bhana๐ญHawa watoto na wanawake ndo unawaita madhalimu? It's clearly huna akili , I'm not picking side here all I'm saying ungekua na akili ungewaombea wote Amani ila kwasababu wewe ni bogaz you can not understand that,it's women and children who suffer the atrocities of human ignorance, kaa chin ujifikilie Tena๐คจ
View attachment 2782299View attachment 2782300View attachment 2782301View attachment 2782302View attachment 2782303