Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Mkuu unataka kutukanisha Dini.Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina
Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.
Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.
Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki
Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.
Allahumma Amiin Amiin
Unaruka tena?kuutetea ukristo unatakiwa ujitoe ufahamuNimekujibu ukafir Kafir kisilamu silamu [emoji38][emoji38][emoji38]
Alitemresha Quran ni jibri (mtafute jibri ndiyo utajua maana yake)Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri
Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Kwani Allah alikuja kuwanyang'anya?Ilikuwa mwaka gani?
Hilo taifa limeundwa mwaka 1948.Kwani Allah alikuja kuwanyang'anya?
Mimi nimeweka Koran inasema Allah alisema Mungu kawaandalia waisraelHilo taifa limeundwa mwaka 1948.
wakatafute ardhi yao.hao walishagombana na mungu kitambo akawaacha waangahike wazurure tu.hapo sio kwao
Walipewa ardhi wakazingua.wakaachwa wazurure.hapo sio kwao.ukisoma billiards utaona ni jinsi gani walikuwa wanavamia ardhi za watu na kutawala wakiwa na Joshua.Mimi nimeweka Koran inasema Allah alisema Mungu kawaandalia waisrael
Nukuu
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
Hakuna Mtu mwenye ubavu WA kuutetea Ukristo!Unaruka tena?kuutetea ukristo unatakiwa ujitoe ufahamu
🤣🤣🤣Mimi Nakupa ushahidi Aliye mvuvia Quran muhammad ni!;
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ
[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Na muhammad amekubali!;
[emoji116][emoji116]
عمدة الأحكام: ج3، ص460
وعن أنس بن مالك قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: "إن الله كان شيطانا في صورة ملك، أنزل علي الآيات وكتابه القرآن وأنا رسوله". .
Umdah al-Ahkam: Juz.3,uk.460
eumdat al'ahkami: ja3, sa460
waean 'anas bn malik qali: samiet rasul allah salaa allah ealayh wasalam yaquli: "'ina allah kan shaytanan fi surat malakin, 'unzil ealia alayat wakitabuh alquran
wa'ana rasuluhu".
Imepokewa kutoka kwa Anas Ibn Malik:
"Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: "Allah alikuwa shetani katika umbo la Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi ni Mtume wake.
Tatizo bakora wanazopigwa Madrasa na kukaririshwa kwa lazima! Na Kwata ya kugonga kichwa Ardhi KILA siku😳😜🤣🤣🤣
Ukweli ambao wanaogopa kuukiri hadharani.
huo mgogoro ni mzito sio kama unavofikiria ndugu, hapo kila mtu anasema ni kwake na kila mtu anatoa sababu zake za msingiNa kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???
Weka nukuu ya Aya madai Yako , umeyatoa wapi kwenye Koran ?Walipewa ardhi wakazingua.wakaachwa wazurure.hapo sio kwao.ukisoma billiards utaona ni jinsi gani walikuwa wanavamia ardhi za watu na kutawala wakiwa na Joshua.
Hivi ukinyan'ganywa ardhi kimabavu halafu atokee mtu akuwambie uishii kwa amani na mtu huyo aliyekunyan'ganya ardhi kimabavu na kuua ndugu zako. Je utakubali??
Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???
Dhulma haiwezi kuishinda haki. Haijalishi wenye kudhulumu wananguvu kiasi gani. Bila ya shaka kila dhulma italipwa na wenye hakiSiwezi kubali ila mwenye nguvu mpishe,