yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Nawaomba walio karibu na JPM wamshauri amrudishe Said Meck Sadick kuwa mkuu wa mkoa Dar, binafsi niliridhishwa na utendaji wa bwana Sadick ilikuwa ni unafiki tu wa Makonda akiwa mkuu wa wilaya kufanya maamuzi ya mkoa ndo kilichokuwa kikififisha utendaji wake.
Lakini bado nakiri kwa jiji kubwa kama hili tunapaswa kuongozwa na mtu mwenye busara kama Sadick na sio Bashite kama ilivonukuliwa mara kadhaa na lushindwa kitolea ufafanuzi.
Lakini bado nakiri kwa jiji kubwa kama hili tunapaswa kuongozwa na mtu mwenye busara kama Sadick na sio Bashite kama ilivonukuliwa mara kadhaa na lushindwa kitolea ufafanuzi.