Niongezee, mara nyingi wanawake wamekuwa wanawanyima wanaume tendo la ndoa, hivi wanaelewa madhara yake, je wanafikiri mwanaume anashindwa kutafuta mwanamke mwingine wa nje ili apoze tamaa zake,waache utoto vinginevyo wataangamia. Biblia inasema 'wala msinyimane, tena hakuna mtu aliye na amri juu ya mwili wake MWENYEWE, pia ndio maana Biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, haisemi mwanaume.
Kingine, wanawake wengi wana kiburi, mwanaume anapomtafuta mwanzo atakuwa na heshima nyingi na kumpigia hata magoti lakini akishamwoa anaanza kuleta dharau, wasipobadilika wataishia kufa kwa ukimwi au kufukuzwa nyumbani na watu kuingiza mali mpya ingawa hayo ni kinyume na mapenzi ya Mungu
wanawake acheni ubinafsi visingizio vya kusema umechoka au kwa kuwa una mtoto ndio maana hutaki kufanya tendo la ndoa vikome katika nyumba zenu, fuateni ushauri wa madaktari, sio kujiundia vitu vyenu vya kijinga katika vichwa vyenu, mnavyohadithia katika saloon zenu amabvyo vingi ni vya kufikirika. Haya wengine wakishazaa wanaondoka nyumbani na kukaa nje ya nyumba zao kwa miezi sita hadi mwaka mzima, hivi ninyi mna akili kweli, mwaka mzima unatarajia mmeo nani anamhudumia nyumbani katika mambo yote
Manamke mwenye akili na hekima atakayeyaelewa haya ataiponya nyumba yake lakini mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
mambo hayo nimesikia na kuona yanatokea na imekuwa chanzo kikubwa cha kinachoitwa ukatili wa jinsia ya wanawake,hata wabebabaji wa maneno haya hawajafanya utafiti kwanini wanawake wanapigwa usiku na sio mchana,, wangefanya wangegundua kuwa ni kwasababu wengi wao wana kiburi na pia huwanyimwa wanaume/wenzi wao tendo la ndoa.
Naomba kumuuliza kila mwanamke ndani ya jf ivi ww uliolewa unadhani kwa ajili ya kupika chakula, kwanini hamjiulizi kwani kabla ya kukuoa ww huyo mwanaume alikuwa hali chakula?
Napita tu ila maada ni nzuri