mjomba2011
Member
- Nov 16, 2011
- 24
- 7
Ndugu unayoyasema ni sahihi kabisaaaa,
1.Laiti kama wanawake wangegundua kuwa mwanaume ni kama mtoto,utakavyo mlea vizuri hata kupita mahali anywe bia moja ataona anachelewa nymbani.
2.Wanaume wengi wanasingizia kazi nyingi ili tu wachelewe kurudi nyumbani japowakute Vuvuzela limesinzia.
3.Kati ya kitu ambacho mwanaume hapendi ni kupigiwa kelele aukufokewa.
KWAKWELI HAKUNA HAJA YA KUTAFUTA MCHAWI.