cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,420
- 188,162
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ndo kwisha habari hiyo. Yanga kasawazisha tu kuna mwenzio kakimbilia kaunta fasta fasta kuwachukulia wana mizinga ya Kvant, kurudi nayo ameikumbatia mitatu anageuka akae anasikia "kula chuma hicho" [emoji38]