Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,705
- 5,125
John mason...! Kwenye kitabu Chake Cha imitation is limitations..anasema.
Utaua uwezo wako pale tu utakapo Anza kujifananisha na wenzako.
Nichukue nafasi hii kukumbusha kuwa,.
Mtu Bora ni yule Ambae anafanya mambo Yale yale kwa namna nyingine..
Tujitahidi kuwa wabunifu kwenye maeneo yetu.ikiwa ni KAZI, biashara au hata mahusiano...
Ahsanteni🙏🏿🙏🏿