mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Wanajf, salaam!
Ili mpange vizuri mikakati ya urais wa mwaka 2020 nachukuwa fursa hii kuwakumbusha matokeo ya URAIS kwa Mwaka 2015.
1. JOHN MAGUFULI 8,882,935,
2. Edward lowassa 6,072,848,
3. Anna Mughwira 98,763,
4. Chifu Yemba 66,049, na
5. Hashimu Rungwe 49,256, na
Vyama viwili @8,000.
Humphrey Polepole aone kuwa sasa tuna kazi kubwa ya kufanya ikizingatiwa kuwa 2020 tutakuwa na ongezeko la vijana takribani 10 milioni ambao wakati wa uchaguzi wa 2015 walikuwa na umri wa miaka 17, 16, 15, 14 na 13.
Mipango mibovu itatupatia matokeo mabovu, na tukijiimalisha basi Mungu huenda akatenda miujiza yake.