Nikusaidieje ni mwenge baada ya oilcom
Nikusaidieje ni mwenge baada ya oilcom
Kaunta njoo tupo wa3
Mi nimemuona kavaa suti.
safari buti au kavaa suti na travoltamwallu unataka umjoin?
Eheee kaja jamaa na suti ya darknevy na kofia ya ccm na kifimbo fikilia huo mkorogo kumbe wanamjua akanyimwa huduma! mimi nipo nawasubiri nashangaa hamji mnaniogopa njoo bwana tujuane love yasafari buti au kavaa suti na travolta
Njoo basi nipo nakusubiri
angalia waliocaunta kaunta zipo2 je wewe unaongelea kaunta ipi pm namba
nikupigie kama vipi