Mwananchi Mwandamizi
Member
- Sep 27, 2015
- 57
- 52
- Thread starter
- #21
In sha Allah..
Kufahamiana ipasavyo na kuridhiana ni jambo jema
Thanks for appreciatin It Miss.
In sha Allah..
Kufahamiana ipasavyo na kuridhiana ni jambo jema
Yaan bwana mdogo kama umeamua kutafuta humu inakupasa ujiandae kisaikolojia.
Ngoja nikusaidie kuwaita.
atoto , miss chagga, charty, kuna kipusa kinalandalanda njoo mkitoe upepo
Aaah me tayari bana, so hii fursa ni kwa ajili ya wengine
Hahahah wenye hela hawasemi teh. Wewe nenda tu, ukajioneeTeh teh teh, hii fursa imepwaya sanaaaaa, ankara hata hazisomi.
umeona enh... watu sikuhizi wanahit the point!!! ye analeta maneno mengi utadhani anamnadi mgombea
mkuu huyo mwenye CONSTRUCTIVE IDEAS utamjuaje?..Au kutakuwa na interview
Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka huu, mara nyingi nilikuwa nikikutana nae kipindi anaelekea kazini nami katika mihangaiko yangu. Alionekana kuwa interested nami, nami eventually nikawa interested nae.
Hatimaye tukawa tumeingia katika mahusiano, frankly speaking nilimpenda sana, sikumbuki kama kuna siku hata moja nilipata mdanganya even for a slight stuff, hivi ndivyo nilivyo AM HUMBLE AND DOWN TO EARTH AND VERY FAITHFUL U KNOW.
Kumbe mwenzangu alikuwa ni someone's wife with a babygil, yote hayo hakupata kunieleza toka mwanzo. Kifupi I LOVED HER WHOLEHEARTLY, shahidi yangu ni MUUMBA.
Iliniuma sana baada ya UKWELI kunidhihirikia, in some extent I lost control in ma self,but namshukuru MUNGU I have now found back u know.
Kimsingi siwezi kuwachukia wanawake in general kwa kile nilichofanyiwa na binti huyu, hivyo hivyo pia siwezi kuyachukia mapenzi. Ninachoamini ni kwamba I mistook in liftin up that's why yalitokea yalotokea. Lakini pia hizi zote naziona ni changamoto katika mapenzi, and someone has to take a lesson from them, and I have taken too.
Haya ndio yaliyonitokea na kunisukuma kuja humu, natumai Biiidhn llah itakuwa ni sababu ya mimi kupata kile ninachokitaraji.
Kifupi, mimi ni kijana wa Kiislam niishiye Dar es Salaam, elimu yangu ni Bachelor na kimuonekano ni baina ya weupe na maji ya kunde na kimo ni saizi ya kati.
Kitabia ni MPOLE SANA na MKWELI pia. Si mtumiaji wa kinyaji chochote chenye ulevi.
Natafuta Mchumba mwislam kidini ambaye ni mkazi wa Dar Es Salaam, kimuonekano awe maji ya kunde au mweupe, kimo saizi ya kati, pia awe ni mwenye kuvutia. Elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea lakini pia awe na CONSTRUCTIVE IDEAS ambazo zitakuwa chachu ya maendeleo yetu sote pamoja.
Lengo ni kuanzisha nae kwanza URAFIKI WA KWELI ambapo kupitia huu urafiki tutaweza kufahamiana ipasavyo kisha kuridhiana and If ALLAH WISHES WE GONNA GET MARRIED.
Aliye interested ani-PM
Thank You All an
God Bless You
changamkia fursa mkuu... Au ww hujapenda?
Yaani hapa nina majonzi acha tu, nikajua mchumba huyu nimempata, sasa maelezo marefuuuuu hata sijaona kipengele cha msingi kabisaaaa cha kipato na nini anamiliki mjini hapa, hizo sifa zooote ninazo.
Hajui wengine wavivu kusoma,akiona Uzi mrefu anaishia kati kiporo anamalizia kesho yake..akija mwingine anaenda direct matokeo yake siku hiyo hiyo anapata mke humu.
I have noticed ur advice Mkuu with much appreciations,Kaoe nyumbani kwenu wewe! Kuanza na kosa la kuoa usiyemjua vema, kusikupe nafas ya kurudia tena kosa hilo.
Take it or ignore it
Yaan bwana mdogo kama umeamua kutafuta humu inakupasa ujiandae kisaikolojia.
Ngoja nikusaidie kuwaita.
atoto , miss chagga, charty, kuna kipusa kinalandalanda njoo mkitoe upepo
maelezo ni njia ya kutafuta huruma. Hebu jaribu unaweza kumnasa
Sidhani kama wote ni very challenging Mkuu,
Naamini kuna DECENTS pia.
Yaani hapa nina majonzi acha tu, nikajua mchumba huyu nimempata, sasa maelezo marefuuuuu hata sijaona kipengele cha msingi kabisaaaa cha kipato na nini anamiliki mjini hapa, hizo sifa zooote ninazo.
Daah!!!!!!!!!!!!!