Mwananchi Mwandamizi
Member
- Sep 27, 2015
- 57
- 52
Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka huu, mara nyingi nilikuwa nikikutana nae kipindi anaelekea kazini nami katika mihangaiko yangu. Alionekana kuwa interested nami, nami eventually nikawa interested nae.
Hatimaye tukawa tumeingia katika mahusiano, frankly speaking nilimpenda sana, sikumbuki kama kuna siku hata moja nilipata mdanganya even for a slight stuff, hivi ndivyo nilivyo AM HUMBLE AND DOWN TO EARTH AND VERY FAITHFUL U KNOW.
Kumbe mwenzangu alikuwa ni someone's wife with a babygil, yote hayo hakupata kunieleza toka mwanzo. Kifupi I LOVED HER WHOLEHEARTLY, shahidi yangu ni MUUMBA.
Iliniuma sana baada ya UKWELI kunidhihirikia, in some extent I lost control in ma self,but namshukuru MUNGU I have now found back u know.
Kimsingi siwezi kuwachukia wanawake in general kwa kile nilichofanyiwa na binti huyu, hivyo hivyo pia siwezi kuyachukia mapenzi. Ninachoamini ni kwamba I mistook in liftin up that's why yalitokea yalotokea. Lakini pia hizi zote naziona ni changamoto katika mapenzi, and someone has to take a lesson from them, and I have taken too.
Haya ndio yaliyonitokea na kunisukuma kuja humu, natumai Biiidhn llah itakuwa ni sababu ya mimi kupata kile ninachokitaraji.
Kifupi, mimi ni kijana wa Kiislam niishiye Dar es Salaam, elimu yangu ni Bachelor na kimuonekano ni baina ya weupe na maji ya kunde na kimo ni saizi ya kati.
Kitabia ni MPOLE SANA na MKWELI pia. Si mtumiaji wa kinyaji chochote chenye ulevi.
Natafuta Mchumba mwislam kidini ambaye ni mkazi wa Dar Es Salaam, kimuonekano awe maji ya kunde au mweupe, kimo saizi ya kati, pia awe ni mwenye kuvutia. Elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea lakini pia awe na CONSTRUCTIVE IDEAS ambazo zitakuwa chachu ya maendeleo yetu sote pamoja.
Lengo ni kuanzisha nae kwanza URAFIKI WA KWELI ambapo kupitia huu urafiki tutaweza kufahamiana ipasavyo kisha kuridhiana and If ALLAH WISHES WE GONNA GET MARRIED.
Aliye interested ani-PM
Thank You All an
God Bless You