Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Hili kweli ni Gazeti.. lakini kiasi flani umejitahidi kutetea Unachokiamini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Bila kufuata misingi bora ya mahusiano na kanuni halisi za Mapenzi Haya Usingeyasikia. Tukubali tukatae Hata nyie mmekuwa Sababu ya Waume zenu kuchepuka
That's it my sweet brod
Huo usweet na ubro mumeuanza lini? Au huyu nae ni bro ktk bwana kama Eli79, sijui umembwagia wapi siku hizi!!
Hahaaa nawaona!!!
Ila mmeongeza points za maana sana kwenye huu uzi aisee, nimeusoma wote hakika mmeonyesha high level of maturity na high level of digesting issues related with love affairs. Mwenyezi Mungu awajalie mahusiano mema
Teh fanya basi kunilipa kwa gazeti langu.
There is absolutely no justification for cheating on someone . Mkeo akikosea/ kujisahau ndo ukacheat? Muwe na hofu ya Mungu, punguzeni tamaa za ngono na kuwe na mawasiliano kati wa wanandoa inapotokea tu kuna kitu hakijakaa sawa
Eti wana pepo la ngono..... Hivi unafikiri kila anaechepuka ni ngono tu....???? Wanawake wasikuhiz mmezid kujifanya wa digitali sana... Wengine hata kupika hamjui..... Hivi unahabari wanaume tunatekwa na vitu vidogo dogo tu....????? Inaezekana unajua mikao yote kitandani na unazungusha kiuno kama feni na bado mumeo akachepuka tuuu........
Hahaaa nawaona!!!
Ila mmeongeza points za maana sana kwenye huu uzi aisee, nimeusoma wote hakika mmeonyesha high level of maturity na high level of digesting issues related with love affairs. Mwenyezi Mungu awajalie mahusiano mema
Nimerudi tena, niko break, hata wajitetee vipi, isue ni kuwa hawana hofu ya Mungu na hawajitambui.
Hahhaha Ahsante sana broo, we are truly humbled. Tunaomba na kuamini kuwa tutakuwa na mahusiano mema daima.
Aimeeeen best brother in the world, you know i love you right? Kudos.
wanawake bana but na nashkuru nan ww umeona uchungu wa kusalitiwa. nyie si mnajikutaga wa janja mna siri nying za kuficha michepuko sasa umekamatyika. yuko wap mumeo nimpongeze japo kwa soda moja kubwa ya baridi kwa joto hili la daslam jion hiiInakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye simu yako lakini unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii.
Jamani kuna wakati wanatulaum wanawake lakini jamani kuna wanaume vimeo sijawahi kuona duuh!
Nimefurahi kusikia nanyi mmegundua source ni kukosa hofu ya Mungu. Ni wachache sana wananielewaga ninapoitaja hii factor kama the one and the only one. Nahisi ni vile wengi ni wapagani au ni 'wahudhuriaji' tu kanisani/msikitini so they don't realize the power of faith.
Sema sasa tatizo lenu kubwa hamnaga kigezo cha ucha mungu when you are hunting for mr right, wengi wenu mnawaona wacha Mungu kama washamba fulani hivi, unexposed and unworth of credit. Matokeo yake mnaangalia factors nyingine hasa pochi, elimu, HB, status, job etc. Mgekuwa mnaweka ucha Mungu kama kigezo number one, mngeepuka wanaume wachepukaji.
Niliwaiga kuandika huku ndani kuwa hakuna mwanaume rijali, mwenye uchumi wake asiyechepuka ikiwa hana hofu ya Mungu. Sema baadhi wanajitahidi tu kuficha wake zao wasijue, so yuko radhi aingie gharama akafanyie huko mbali mkewe asijue. Angalau wa hivi ni mtaarabu.
Ukiona mwanaume rijali hana hofu ya Mungu halafu ametulia tu, ujue hajapata finacial muscles. Akizipata ndo utamjua vizuri. Kifupi bila hofu ya Mungu no way mwanaume rijali, mwenye uchumi wake atashinda tamaa za kuchovya chovya
Afu umeanza kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa siku hizi, unafanya "nitunishe misuli" then unasepa.....we haya tu!!Yaani we acha tu, Eli79 basi tu yaani sijui hata nisemeje, uzuri ni kuwa hata nisipoongea tayari anajua nilitaka kusema nini, so ngoja tu ninyamaze.
Afu umeanza kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa siku hizi, unafanya "nitunishe misuli" then unasepa.....we haya tu!!
atoto na Heaven Sent naona mpo against michepuko. Nipo kwa kampeni kwa ajili ya kuwachepusha, mwezi wa 11 naleta mrejesho...