Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Jan 10, 2012 #21 MANGUNGO said: Akili ni nywele mwenzetu sijui umenyoa?wewe haukuanza kama mgeni!ubinafsi tu unakusumbua hauna maana jamii forum sio ya baba au mama yako. Click to expand... hehehe punguza makali mkuu.. Mwenzetu alikua anatoa dukuduku lake tu.
MANGUNGO said: Akili ni nywele mwenzetu sijui umenyoa?wewe haukuanza kama mgeni!ubinafsi tu unakusumbua hauna maana jamii forum sio ya baba au mama yako. Click to expand... hehehe punguza makali mkuu.. Mwenzetu alikua anatoa dukuduku lake tu.
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Jan 10, 2012 #22 PakaJimmy said: Wengi unaowaona kama wageni huwa ni wenyeji!.Wanasoma ramani inasemaje kwanza , ndipo wanaamua ku-login, au kusepa mojakwa moja! Stuka! Click to expand... Ni kweli... huwa ninafanya hivyo mara nyingi tu
PakaJimmy said: Wengi unaowaona kama wageni huwa ni wenyeji!.Wanasoma ramani inasemaje kwanza , ndipo wanaamua ku-login, au kusepa mojakwa moja! Stuka! Click to expand... Ni kweli... huwa ninafanya hivyo mara nyingi tu