Wapogoro sana usemi wao(GUTIRI WANDU MLUNGU KAPATALI).Jifunze kulipa kisasi aliyekufanyia ubaya mpe anachostaili aya mambo ya kumuachia Mungu yatakutesa maisha yako yote kama huwezi kumshtaki basi pigs komboraa alale kitandani afilisike kwa ugonjwa
Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
As long as anayeyafanya hayo huyafanya akiwa na sare za jeshi la polisi na utambulisho pia wa jeshi la polisi maana yake ipo pale pale haijabadili kitu.Tuache ujinga wa kulilalamikia jeshi la polisi kwa ujumla wake, hii inasababisha polisi Juma, polisi Asha, Polisi joni asiwe na hofu ya kutenda uovu maana atabebwa na jina la polisi kama taasisi.
Jeshi la polisi lina miongozo ya utendaji na maadili hivyo ubaya haufanywi na taasisi ya jeshi la polisi, ubaya unafanywa na mtu aliyepewa dhamana ya kuwa polisi.
Ww kariri mtu wako aliyekufanyia ubaya. Dili naye maana haishi sayari tofauti. Ikiwezekana mada ziwe polisi mawazo ali mwenye namba xxxx ni mla ruhwa, mbambikia kesi n.k n.k huku ukisifia wale unaoona wana msaada.
Hawawezi kukujua kama ni tabia yao na pia kitendo cha kuwatenga na umoja wao wa jina "POLISI" kitawagawanya na kuwafanya wajihoji kabla ya kufanya ubaya. Ukumbuke, hata wao kwa wao huko ndani sio kwamba wanapendana sana, kama wakigawanywa na wao watatafunana tu.
Hata Kenya kabla ya kuandika upya katiba yao, walikuwa hivi hivi!Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.
Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.
Hawakutaka kuniachia, hawakutaka kunipa dhamana, waliendelea kunishikilia wakinituhumu kwa mambo mazito ambayo sihusiki nayo.
Wameniachia muda ukiwa umeenda sana, wameniachia ni baada ya ndg zangu kuhangaika sana, Wameniachia kwa kunipeleka mahakamani na kunibambika kesi isiyo yangu
Nina maumivu makali sana juu ya uonezi walionifanyia polisi hawa...
licha ya hamza, wewe unashaurije mkuu?Inasikitisha mno kuwa tunaishi kwenye nchi ambayo sensitive issue kama hii inaishia kulalama humu JF, wananchi wa nchi nyingine wanafanikiwa wapi ambapo watanzania wanashindwa?,push backs zitaanza vipi na lini?,Hamza (rip)alionyesha njia baada ya kudhulumiwa ?,tuendelee kula mtori mifupa tutakutana nayo chini.
We ni polisi?Police hawana shida ni wazuri kama utajua kuishi nao wala usitafute bifu nao utapotea. Kula nao kipofu mambo yataenda
Sijawahi na sitokuwaWe ni polisi?
As long as anayeyafanya hayo huyafanya akiwa na sare za jeshi la polisi na utambulisho pia wa jeshi la polisi maana yake ipo pale pale haijabadili kitu.
Na waswahili wanasema "samaki mmoja akiozaa......" Maana kama jeshi limeshindwa kusimamia maadili ya mtumishi mmoja wa jeshi simply jeshi zima limefail.
Unless ikiwa kama hujawahi kukutana na madhira ya hawa jamaa au wew mwenyew ni polisi huwezi kuelewa hasa nini anapitia na yaliyomkuta mtoa mada.
Binafsi polisi nawachukia maana yameshanikuta kwayo na nikafanyiwa dhulmati kwa uonevu wao
Ni watu wabaya na wenye tamaa,hawana cha undugu
Malaya wa kiume hawana wivu?Na wivu pia kama malaya wa kike
Malaya wa kiume hawana wivu?
Hiyo koneksheni unaifisha..huo ndio usnitch wenyewe. Wengi hapa mbwa tu.Hawa jamaa waliwahi kunibambikia kesi ya kudhalilisha sana. Uzuri hiyo sehem hiyo, kuna cctv lakini pia kuna mtu alinisaidia connection fulani. Polisi, Polisi , Polisi