Hebu muulize huyo Mushi, kama mgombea wake Magufuli amewahi kutamka hadharani, kuwa akishindwa uchaguzi huu kihalali atapokea matokeo hayo?
Mara kadhaa mgombea wangu Tundu Lissu, amewahi nukuliwa akisema kuwa akishindwa kihalali, atakuwa wa kwanza kumpongeza mpinzani wake aliyeshinda kiti cha Urais
Hiyo ndiyo Demokrasia inavyotakiwa kuwa Ukishinda unafurahia ushindi na ukishindwa unapokea matokeo hayo