Nawaasa wanaotaka kuandamana

Nawaasa wanaotaka kuandamana

Na Thadei Ole Mushi.

Kipindi hiki Cha uchaguzi mkuu niuhimu kuwakumbusha watu Mambo muhimu ambayo yanaweza kuwaletea shida wasipoyajua. Kuna baadhi ya wanasiasa wameaacha kunadi sera wao wanasema tusiposhinda tutaandamana na kuleta vurugu. Ni vizuri vijana kufahamu kuwa kuandamana bila ruhusa ni Kujaribu kumpindua Rais aliyepo madarakani na kwa mujibu wa Sheria zetu huo ni uhaini na adhabu yake ni kifo. Vijana wafahamu pia kwamba kumshawishi au Kuchochea vurugu ni uhaini.

Sheria za nchi zinasemaje?

Sheria ya jeshi la Polisi ya mwaka 1961 na marekebisho yake ya mwaka 1995 ambayo kwayo ndio tunayoifuata hadi sasa inatoa njia na namna ya kuendesha maandamano nchini. Inasema nanukuu:-..

(1) Mtu yeyote ambaye ana mpango wa kufanya, kukusanya, kuunda au kupanga mkusanyiko au maandamano ya hadhara , kwa muda usiopungua saa 48 kabla ya mkusanyiko au maandamano kwa muda uliopangwa kuanza, atawasilisha kwa maandishi notisi kuhusu kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kwa afisa polisi msimamizi wa eneo hilo akianisha:-

(a) Sehemu na muda ambao mkutano utafanyika;

(b) Dhumuni kwa ujumla kuhusu mkutano huo; na

(c) Maelezo mengine kama Waziri atakavyotangaza kwa notisi, mara kwa mara kwenye gazeti la Serikali, kuainisha.

(2) Pale ambapo mtu anawasilisha taarifa kulingana na kifungu kidogo cha (1), anaweza kuendelea kuitisha, kukusanya, kuunda au kuandaa mkusanyiko au maandamano hayo kama yalivyopangwa isipokuwa na mpaka atakapopokea amri kutoka kwa afisa polisi msimamizi wa eneo ikielekeza kwamba mkusanyiko au maandamano hayo hayatafanyika kama ilivyotaarifiwa.

(3) Afisa polisi ambaye taarifa imewasilishwa kwake kulingana na kifungu kidogo cha (1), hatatoa amri ya kusitisha chini ya kifungu kidogo cha(2) kulingana na taarifa isipokuwa ameridhika kwamba kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kuna uwezekano wa kusababisha kuvunjika kwa amani au kuathiri usalama wa taifa au kudumisha amri kwa umma au kutumika kwa dhumuni lolote lisilokuwa halali."

Hiyo ndio sheria inayoliongoza jeshi letu la polisi.Kwa maana rahisi maandamano ni mpaka jeshi la polisi likubali na litoe kibali baada ya waandamanaji kuomba kibali hicho.

Kwa vyovyote vile maandamano hayo yanapaswa jeshi la Polisi lijiridhishe pasipo na Shaka kuwa hayatasababisha madhara yoyote na hayata ingilia haki za watu wengine ambao hawataki kuandamana. Huu ni mtego niliokuwa nawaambia...

NINI KINAWEZA KUTOKEA?

Kinachoweza kutokea baada ya katazo la jeshi la Polisi ni watu wenye nia ya kuandamana kutaka kuandamana kwa nguvu. Ukifanya hivyo moja kwa moja utakuwa unatenda kosa la UHAIN ambalo ndio kosa kubwa kuliko yote nchini kwa mujibu wa ibara ya 28 ya katiba yetu.

Sheria inatuambia kwamba kama ukifanya yafuatayo utakuwa umefanya uhaini katika nchi yako.

( a ) Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya muungano au popote akajaribu kumuua rais atakuwa ametenda uhaini.

( b ) Pia mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya muungano au popote na akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.

( c ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa rais atakuwa ametenda uhaini.

( d ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda uhaini.

( e ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.

( f ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.

Rudia kusoma kipengele D Hadi ukielewe ukishindwa mwite na Mwenzako mkisome kwa pamoja.

Aidha ifahamike kuwa kwa mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini adhabu yake ni kifo na sheria hiyo ya kifo imeelezwa katika kifungu cha sheria namba 39 na 40 cha kanuni za adhabu.

Hivyo watanzania kwa umoja wetu tunapaswa kuzijua sheria za nchi yetu ili kuweza kujiepusha kutenda makosa ya jinai dhidi ya nchi yetu.

Wale wanaowachochea kwenye kampeni waambieni Siku hiyo wanayotaka kuandamana waje na familia zao wake Mbele kabisa maana Hao wakishapata Vyeo hulia kivulini, wanasoma shule Bora kabisa, Wana Mali mpaka nje ya nchi, wakiumwa wanatibiwa hospital Bora kabisa. Ukiona familia zao zipo Mbele waungeni mkono.

Ole Mushi.
0712702602
Lete hoja nyingine, viongozi kukimbilia nje ya nchi(exile) ni kawaida na muhimu ili kulinda maisha yao, hata Mozambique na South Africa viongozi wa vyama vya Frelimo na ANC walikimbilia nchi za nje ikiwemo Tanzania,rais wa ANC Oliver Tambo aliendesha harakati akiwa nje ya nchi, na wengine walifia nje ya nchi akiwemo Eduardo Mondlane, kiongozi wa harakati au wa nchi lazma alindwe kuliko wananchi au wafuasi wake maana akifa au kudhurika yeye pigo litakuwa kubwa zaidi.
 
Zanzibar kidooogo wanaweza kuingia barabarani (nature haidanganyi, DNA za baadhi yao zina ukaribu na kule Yemen) bara hata Lissu mwenyewe hawezi kutia mguu barabarani maana bado ana risasi kwenye uti wa mgongo hivyo akisikia mlio tu wa bunduki, ile risasi ina react wenzake wa nje na kuanza kuuma.

Hakuna mtu bara wa kuingia barabarani hata Mange Kimambi amethibitisha hilo....chapati na supu ya utumbo mtaani vitamu wewe! nani aviache kisa Lissu na Amsterdam?

Endeleeni kujipa moyo ibeni muone.

Bara kitu kilichokosekana Ni sababu ya kuandamana ikipatikana ambayo ndo hiyoo ya wizi wa kura utakuja KUNIAMBIA tupoo utaona.
 
Huko Belarusi wanaandamana kwa kumpindua Raisi au kupinga dhuluma?

Acheni porojo. Tume ya uchaguzi itende haki tu basi. Hata Magufuli akiibiwa kura hatakubali.
 
Endeleeni kujipa moyo ibeni muone.

Bara kitu kilichokosekana Ni sababu ya kuandamana ikipatikana ambayo ndo hiyoo ya wizi wa kura utakuja KUNIAMBIA tupoo utaona.
 
Mgombea yule Ameendelea kusema bila kificho kuwa

"Nikishinda halafu nisitangazwe,au nikaibiwa ushindi wangu,naingiza watu barabarani."

Hii ni kauli ya kiungwana kabisa.
Ni Nani akijua kashinda kihalali halafu akaibiwa ushindi wake Kisha akachekelea na kukubali matokeo tu?
pia aliongeza kusema kuwa ikiwa ikithibitika kashindwa kihalali atakubali matokeo.

Usipotoshe mtoa mada.
 
Na Thadei Ole Mushi.

Kipindi hiki Cha uchaguzi mkuu niuhimu kuwakumbusha watu Mambo muhimu ambayo yanaweza kuwaletea shida wasipoyajua. Kuna baadhi ya wanasiasa wameaacha kunadi sera wao wanasema tusiposhinda tutaandamana na kuleta vurugu. Ni vizuri vijana kufahamu kuwa kuandamana bila ruhusa ni Kujaribu kumpindua Rais aliyepo madarakani na kwa mujibu wa Sheria zetu huo ni uhaini na adhabu yake ni kifo. Vijana wafahamu pia kwamba kumshawishi au Kuchochea vurugu ni uhaini.

Sheria za nchi zinasemaje?

Sheria ya jeshi la Polisi ya mwaka 1961 na marekebisho yake ya mwaka 1995 ambayo kwayo ndio tunayoifuata hadi sasa inatoa njia na namna ya kuendesha maandamano nchini. Inasema nanukuu:-..

(1) Mtu yeyote ambaye ana mpango wa kufanya, kukusanya, kuunda au kupanga mkusanyiko au maandamano ya hadhara , kwa muda usiopungua saa 48 kabla ya mkusanyiko au maandamano kwa muda uliopangwa kuanza, atawasilisha kwa maandishi notisi kuhusu kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kwa afisa polisi msimamizi wa eneo hilo akianisha:-

(a) Sehemu na muda ambao mkutano utafanyika;

(b) Dhumuni kwa ujumla kuhusu mkutano huo; na

(c) Maelezo mengine kama Waziri atakavyotangaza kwa notisi, mara kwa mara kwenye gazeti la Serikali, kuainisha.

(2) Pale ambapo mtu anawasilisha taarifa kulingana na kifungu kidogo cha (1), anaweza kuendelea kuitisha, kukusanya, kuunda au kuandaa mkusanyiko au maandamano hayo kama yalivyopangwa isipokuwa na mpaka atakapopokea amri kutoka kwa afisa polisi msimamizi wa eneo ikielekeza kwamba mkusanyiko au maandamano hayo hayatafanyika kama ilivyotaarifiwa.

(3) Afisa polisi ambaye taarifa imewasilishwa kwake kulingana na kifungu kidogo cha (1), hatatoa amri ya kusitisha chini ya kifungu kidogo cha(2) kulingana na taarifa isipokuwa ameridhika kwamba kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kuna uwezekano wa kusababisha kuvunjika kwa amani au kuathiri usalama wa taifa au kudumisha amri kwa umma au kutumika kwa dhumuni lolote lisilokuwa halali."

Hiyo ndio sheria inayoliongoza jeshi letu la polisi.Kwa maana rahisi maandamano ni mpaka jeshi la polisi likubali na litoe kibali baada ya waandamanaji kuomba kibali hicho.

Kwa vyovyote vile maandamano hayo yanapaswa jeshi la Polisi lijiridhishe pasipo na Shaka kuwa hayatasababisha madhara yoyote na hayata ingilia haki za watu wengine ambao hawataki kuandamana. Huu ni mtego niliokuwa nawaambia...

NINI KINAWEZA KUTOKEA?

Kinachoweza kutokea baada ya katazo la jeshi la Polisi ni watu wenye nia ya kuandamana kutaka kuandamana kwa nguvu. Ukifanya hivyo moja kwa moja utakuwa unatenda kosa la UHAIN ambalo ndio kosa kubwa kuliko yote nchini kwa mujibu wa ibara ya 28 ya katiba yetu.

Sheria inatuambia kwamba kama ukifanya yafuatayo utakuwa umefanya uhaini katika nchi yako.

( a ) Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya muungano au popote akajaribu kumuua rais atakuwa ametenda uhaini.

( b ) Pia mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya muungano au popote na akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.

( c ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa rais atakuwa ametenda uhaini.

( d ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda uhaini.

( e ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.

( f ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.

Rudia kusoma kipengele D Hadi ukielewe ukishindwa mwite na Mwenzako mkisome kwa pamoja.

Aidha ifahamike kuwa kwa mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini adhabu yake ni kifo na sheria hiyo ya kifo imeelezwa katika kifungu cha sheria namba 39 na 40 cha kanuni za adhabu.

Hivyo watanzania kwa umoja wetu tunapaswa kuzijua sheria za nchi yetu ili kuweza kujiepusha kutenda makosa ya jinai dhidi ya nchi yetu.

Wale wanaowachochea kwenye kampeni waambieni Siku hiyo wanayotaka kuandamana waje na familia zao wake Mbele kabisa maana Hao wakishapata Vyeo hulia kivulini, wanasoma shule Bora kabisa, Wana Mali mpaka nje ya nchi, wakiumwa wanatibiwa hospital Bora kabisa. Ukiona familia zao zipo Mbele waungeni mkono.

Ole Mushi.
0712702602
Hapo mwanzo tu umeonesha nia ovu kwa kuongea uongo ambao hao unaowasemea hawajasema.
Kauli ya: "....tusiposhinda tutaandamana na kuleta vurugu." uliisikia kwa mgombea gani? Wewe unawasikiliza peke yako?
 
ActWazalendo "wameshahadia" Vifaru na Mizinga na IGP na KMKM na WASIOJULIKANA na WANAOJULIKANA sasa ni JINO kwa JINO.
 
Ukamwombe mwizi wa kura kuandamana? Ngoja tuingie mtaani kisha mtuue ili mjue kuchezea sheria za nchi kisa mna madaraka ni makosa. Mtakapotuua ndio mjue kuwa ni mwanzo wa mabadiliko ya kweli.
Sema utakapouawa wewe. Usisemee wengine, hakuna atakayeandamana kwa ajili ya wakala wa mabeberu. Wengine tutatii sheria , kama ni wewe utaona cha moto wewe. Zungumza kwa nafsi yako.
 
Ndio maana mnachezea uchaguzi maana mnajua hakuna wa kuingia mtaani? Kesha ukiomba hilo litokee, lakini ikiwa kinyume chake, hawa wanaoamrisha huu wizi wa kura watajuta maisha yao yote.

Kuandamana Ni haki ya msingi ya raia, kikundi au jamii kwa Amani na kuwakilisha mawazo yao...

Mishkaji anajifanyaga ana akili sana huyu ila ni zumbukuku mkubwa

Huyo hajielewi anweka propaganda za kuwatisha wananchi...

Akumbuke watu Wana haki kuandamana au kuwakilisha maoni yao kwa misingi au kwa hoja za uchaguzi sio kupindua nchi au kummua mfalme...

Hivyo ametumia ikiwa rais ameshaapishwa.. kipindi Hiki hiyo Sheria haitumiki...

Mkileta ushenzi mwaka huu, tutaandamana mchana kweupe. To hell na sheria zenu kandamizi. Nani huwa naomba ruhusa kuandamana dhidi ya wadhalimu?
 
Sema utakapouawa wewe. Usisemee wengine, hakuna atakayeandamana kwa ajili ya wakala wa mabeberu. Wengine tutatii sheria , kama ni wewe utaona cha moto wewe. Zungumza kwa nafsi yako.
Nguvu ya umma sio mtu mmoja, kwakuwa ww ni mwizi wa kura unaweza kutii sheria zilizotungwa ili kuibeba ccm.
 
Watanzania sio wajinga kama unavyofikiria.
Kuna mmoja ameshakata ticket kabisa ya 18/12.Huyo ndo aingie barabarani apate sample kidogo ya kumwonyesha Amsterdam. Watanzania wazalendo sio wajinga, ila manyumbu wa Mbowe ingieni barabarani tu.
 
Back
Top Bottom