Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Hebu muulize huyo Mushi, kama mgombea wake Magufuli amewahi kutamka hadharani, kuwa akishindwa uchaguzi huu kihalali atapokea matokeo hayo?Mwambie huyo Ole Mushi aache unafiki hakuna mgombea aliyesema akishindwa ataandamana, watu wanataka kushindwa kihalali
Mara kadhaa mgombea wangu Tundu Lissu, amewahi nukuliwa akisema kuwa akishindwa kihalali, atakuwa wa kwanza kumpongeza mpinzani wake aliyeshinda kiti cha Urais
Hiyo ndiyo Demokrasia inavyotakiwa kuwa Ukishinda unafurahia ushindi na ukishindwa unapokea matokeo hayo