Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,280
- 2,980
Tendeni haki basiSikio LA kufa, wanatafuta tu sababu! Ila wajue mchuma janga hula na wakwao, afu muhimu zaidi jamaa ana return ticket.
Tendeni haki basiSikio LA kufa, wanatafuta tu sababu! Ila wajue mchuma janga hula na wakwao, afu muhimu zaidi jamaa ana return ticket.
Ati niandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji
Hata shetani atanicheka
Rais Magufuli akisema tuandamane kuyapinga Mabeberu nitaandamana
Zanzibar kidooogo wanawezakuingia barabarani (nature haidanganyi, dna za baadhi yao zina ukaribu na kule Yemen) bara hata Lissu mwenyewe hawezi kutia mguu barabarani maana bado ana risasi kwenye uti wa mgongo hivyo akisikia mlio tu wa bunduki, ile risasi ina react wenzake wa nje na kuanza kuuma.
Hakuna mtu bara wa kuingia barabarani hata Mange Kimambi amethibitisha hilo....chapati na supu ya utumbo mtaani vitamu wewe! nani aviache kisa Lissu na Amsterdam?
Sawa! Ila pia kila mmoja atimize wajibu!Tendeni haki basi
Ndio maana mnachezea uchaguzi maana mnajua hakuna wa kuingia mtaani? Kesha ukiomba hilo litokee, lakini ikiwa kinyume chake, hawa wanaoamrisha huu wizi wa kura watajuta maisha yao yote.
Wewe moumbavu, subiri uone. Ibeni kura muone. Usidhani mwaka juzi nisawa na mwaka huu people grow and Change.Zanzibar kidooogo wanawezakuingia barabarani (nature haidanganyi, dna za baadhi yao zina ukaribu na kule Yemen) bara hata Lissu mwenyewe hawezi kutia mguu barabarani maana bado ana risasi kwenye uti wa mgongo hivyo akisikia mlio tu wa bunduki, ile risasi ina react wenzake wa nje na kuanza kuuma.
Hakuna mtu bara wa kuingia barabarani hata Mange Kimambi amethibitisha hilo....chapati na supu ya utumbo mtaani vitamu wewe! nani aviache kisa Lissu na Amsterdam?
Kulinda haki yako ni wajibu wako pia kumbukaSawa! Ila pia kila mmoja atimize wajibu!