Navy Kenzo, Nahreel wanafanya vizuri sana

Hawa jamaa nawakubali sana. Sana wimbo wao unaitwa Hold me back ile sio level ya kawaida japo ni wimbo Wa zamani kidogo lakini uko poa sana
 
Mkuu nipo hapa Team Navy Kenzo iseee, hawa jamaa nawakubali 100% toka enzi zile za USINIBWAGE na HOLD ME BACK mpaka sasa hivi KAMATIA CHINI.
 
Kibongobongo na aina ya muziki wanaofanya ni ngumu kutoboa kama ilivyo kwa diamond hivii ila kwa nje ya Tanzania ni rahisi sana wakiendelea kukaza..

Afu suala la kiki za kipuuzi kumpandisha chati mtu sio formula maana ukimuangalia shilole au nuh mziwanda huko youtube hana jipya ila kwa shigongo anauza sana tu...

Harmonize kapiga views milioni ndani ya siku kumi tu, na sasa zimepiga milioni 2 na hana kiki kama za baraka da prince kubadili mademu kila mwezi... Kazi & mashabiki ndio kila kitu...
 
Habari wakuu,

Aisee leo nilikuwa nazurura zurura youtube nikajikuta napitia video moja moja ya hawa jamaa wanaojiita Navy Kenzo....Dah these guys are so under rated...The guys are not just good, they are awesome!

Wana hits kali sana hawa jamaa.. Nahreel ni mtu mmoja mbaya sana....Yani anatisha mbayaa...

Lakini mbona naona kama hawapati promo ya kutosha...Yani siwasikii wakizungumziwa mitaani...Hivi tatizo ni nini hasa..Maana kwa sasa hit songs almost zote ni mkono wa nahreel ispokuwa chache....Goma kama zigo la AY almost kila kitu kafanya Nahreel...

Madude kama Game na Kamatia chini, video zake ni level nyingine asee...Lakini views youtube hazijafika 1m....

Au ni huu ushabiki maandazi wa kibongo ndo unachangia?...Yani kisa wao hawako katika ile beef ya wale wawili? Au mnatutenga sie wa Arusha?

The Industry for life
Hawa jamaa wangefika mbali kitambo kipindi wakati wapo wanne wanajiita pah one, kisa demu aika kutongozwa n jamaa moja wao nahreal akawapiga chini masela zke wakati waliomba msamaha
 
Kamatia is a copy paste of a paltry paste, a bland behemoth of budgetary bruteforce with hardly any soul, let alone moves.

The money could have been better spent on a dungeon drama.

Just because one uses a lot of money to shoot a video with white girls, it doesn't mean the music is dope.
 
Kweli pah one.. ilikuwa kiboko.. walikuwa wanapiga ung'eng'e wa ukweli kama wale camp mulla wa kenya.. haya makundi mawili yalivuma muda kidogo na kuvunjika
 
Nipo youtube naangalia misambwanda,the school of life.

Hao mbona wan show nyingi tu.
 
Kamatia is a copy paste of a paltry paste, a bland behemoth of budgetary bruteforce with hardly any soul, let alone moves.

The money could have been better spent on a dungeon drama.

Just because one uses a lot of money to shoot a video with white girls, it doesn't mean the music is dope.

I do understand that the money spent was theirs, no?
 
Whether it is theirs or not is immaterial.

What is material is, you can't buy style and creativity with money.

They look like a poor imitation of some Outkast video that was keen on being fresh and clean but ended with a rookie director who couldn't tell which way is up plus a kaleidoscopic choreographer scared of movement.

This is the quintessential swagger jacking video if there ever was one.
 
Habari wakuu,

Aisee leo nilikuwa nazurura zurura youtube nikajikuta napitia video moja moja ya hawa jamaa wanaojiita Navy Kenzo....Dah these guys are so under rated...The guys are not just good, they are awesome!

Wana hits kali sana hawa jamaa.. Nahreel ni mtu mmoja mbaya sana....Yani anatisha mbayaa...

Lakini mbona naona kama hawapati promo ya kutosha...Yani siwasikii wakizungumziwa mitaani...Hivi tatizo ni nini hasa..Maana kwa sasa hit songs almost zote ni mkono wa nahreel ispokuwa chache....Goma kama zigo la AY almost kila kitu kafanya Nahreel...

Madude kama Game na Kamatia chini, video zake ni level nyingine asee...Lakini views youtube hazijafika 1m....

Au ni huu ushabiki maandazi wa kibongo ndo unachangia?...Yani kisa wao hawako katika ile beef ya wale wawili? Au mnatutenga sie wa Arusha?

The Industry for life
Kaka kuna ngoma yao moja ilikuwa ina hit kwenye tv za nje kabla hawajatoa kamatia chini. Mimi nlikuwa naiskia na kuipenda sana ila nilijua ni wakenya.. Siku hiyo nipo masaki nikapewa kijatida kimoja mara nawaona wapo jui.. Kusoma kumbe ni wanongo bwana .. Nilishangaa sanaa bug up to them.. Ngoma zao zinahit sana kwenye tv za nje ..
 
Whether it is theirs or not is immaterial.

What is material is, you can't buy style and creativity with money.

They look like a poor imitation of some Outkast video that was keen on being fresh and clean but ended with a rookie director who couldn't tell which way is up plus a kaleidoscopic choreographer scared of movement.

This is the quintessential swagger jacking video if there ever was one.

Whoa! So sore is your soul, brother. It ain't personal, is it? Cuz damn!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom