Navutiwa na wanawake watu wazima

Nov 23, 2020
58
96
Mambo vipi wadau

Mimi kijana wa makamo 23 years

Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea

Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka nanikishafanya nao mapenzi basi nalizika tofauti na vibinti vya umri wangu kuna mmoja nilimpenda hadi nikawa nisipomuona kwa muda nahisi kuumwa tulipanga vizuri nimtambulishe kwetu tufunge ndoa ila akanigomea aise nilikesha nalia hadi siku alipokuja kuniambia hawezi kuwa na Mimi kwani anaogopa maneno ya watu basis bwana nilienda nae kinyonge hivyo hivyo hadi aliponiacha rasmi 2020 kwa madai kuwa anataka alee wanae iwapo bado nampenda sana.

Wanawake wa umri wangu huwa sina hamu nao kabisa
 
Hivi hata kama miaka 30 ngome ni michache kwako ukija kutoka utafanya kitu gani zaidi katika maisha?
 
Chukua huyo
FB_IMG_1613183786472.jpg
 
Kwa nn unakula wamama wanaoweza kukuzaa?

Uwe na adabu kwa mama kabla hujatwaliwa na ziraili tena ujue kuzini ni dhambi
 
Back
Top Bottom