Navutiwa na wanawake wanaovaa saa za mkononi

Navutiwa na wanawake wanaovaa saa za mkononi

Mimi navutiwa zaidi wanaovaa saa za mguuni
 
Mwenyewe napendaje kuvaa saa hata ikisimama bila kutembea mie navaaga tu ilimradi iwe ni saaa [emoji3]
Mwanamke anaevaa saa mimi namuona wa tofauti na anajitofautisha na wanawake wengine, anajionyesha kwamba ana kiwango flani kikubwa cha uelewa au maarifa flani.
 
Mbona wana vaa ila 90% hazina majira.. anza kufanya utafiti
 
mimi napenda mwanamke anaetunza uasili wake,sio kichwani peruvian shit,kucha ndefu kama shell la konokono,kope kama kivaranda!black and natural bby mama ndio amani yangu
Asante kwa kutusifia, nilidhani tumepitwa na wakati kumbe bado.
 
Ninachopenda mm ni tofauti na watusaa haisumbui akili wala mvuto ila dera na vya ndani vipungue halafu chura anese hapo ndipo nnapendaga
 
Mi navutiwa sana na wanawake wanaonyoa, na kuvaa sketi ndefu, ila awe na medium shape.....! Kama wasabato style....!
 
Mi napenda mdada avae bangili za chuma , alafu ziwe zinagongana nakutoa ule mlio daaaah mi hoi
 
Napenda anaevaa saa kiunoni😀😱
 
Mwanamke akivaa miwani kwangu hujizolea point nyingi sana.
 
Back
Top Bottom